Nyimbo za mapenzi za kibongo

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,145
9,215
Hivi mziki unashawishi watu kwa kiasi gani
kutamani kuingia kwenye mapenzi. .. maana binafsi leo
kuna wimbo nilikuwa nasilkiliza nikajikuta mawazo yangu yameenda
mbali saaanaaa.. nikajiweka kwenye position ya aliyekuwa
anaimbiwa

mfano hizi hapa

1.Hussen machozi- kwa ajili yako . http://www.youtube.com/watch?v=QzTrUuiIqVc
kama hapa hii jamaa anamwimbia girlfriend wake kwa kumujulisha anampenda sana kama haupo kwenye relashionship unatamani ungekuwepo nawe uwe unaimbia hivyo.

2. Maunda zoro.. mapenzi ni ya wawili http://www.youtube.com/watch?v=96-T-IHd4ok
Maunda Zoro anamuhakikishia mpenzi wake kwamba anampenda japo hana kitu na kila mtu anamshangaa kwa nini yuko nae. inafaa zaidi inapotokea mwenzio haamini/hajiamini kwenye mahusiano yenu

3. Prozo - Nataka Tupendane YouTube - Nataka Tupendane by Prezzo ft Kaz
hii inaonesha kwamba wapo wanaume ambao wanashukuru wenzi wao kwa kuwa nao..

Hizi ndizo baadhi ya nyimbo nizipendazo nanilivyoandika ndivyo ambavyo huwa nafikiria nikizisikilaza...

na wewe ni nyimbo gani za mapenzi za hapa hapa nyumbani unapenda na huwa unafikiria nini ukizisikiza..

AD..
 
Mhhhh ......ngoja nifikirie some of my fav ntarudi!!!Ila umenikumbusha mbali na wimbo wa Maunda maana naupenda balaa...hua unanitamanisha nikutane na mtu ambae hana kitu alafu nimpende jumla jumla!!!
 
Mhhhh ......ngoja nifikirie some of my fav ntarudi!!!Ila umenikumbusha mbali na wimbo wa Maunda maana naupenda balaa...hua unanitamanisha nikutane na mtu ambae hana kitu alafu nimpende jumla jumla!!!

my dear nakumbuka
uliniambia tulivyokuwa
shule ya msingi lol
Enjoy :A S-rose:
 
my dear nakumbuka
uliniambia tulivyokuwa
shule ya msingi lol
Enjoy :A S-rose:

Hahahahaah we embu acha kunizingua...shule msingi mi nlikua bize kucheza nage bana!!

Nwy nimekumbuka napenda sana Asali wangu wa moyo wa inspector Haroun!!Kama wote wangekua wakipenda hawasikilizi ya watu na wanatulia na watu wao tungekua mbali kweli!!!
 
  1. Ya nn malumbano(kwa ambae hamuelewani)20%
  2. Mpenzi - Kidumu & Juliana
  3. Nimekuchagua ww-Bob ludala
  4. mpenzi wangu...... -Nyota % waziri
  5. Nataka niwe na ww milele - Ray C
  6. Zeze -TID
  7. Hidaya -Pasha
  8. Ni soo -Pasha
  9. Siwema -Jide
  10. Zuena-
  11. Robo Saa -Amin
  12. Malaika -Mama Africa
  13. Georgina
  14. Monicah
  15. Cheusi mangala
  16. Chaupele mpz
 
Mariamu wangu - by Remmy ongalla (RIP) unanikumbusha wanawake wa tanga, waja leo waondoka leo

Zuwena - by marijan Rajab (RIP)nafiri huyu zuwena lazima aji feel very special

Queen kasse -by Tx moshi william (RIP) siwezi muacha nimpende

Tupenandane - Nyota waziri & njenje, unaikiaje mtu anakwambia tupendane kama nyota na mwezi zilivyo mwanana angani
 
  1. Ya nn malumbano(kwa ambae hamuelewani)20%
  2. Mpenzi - Kidumu & Juliana
  3. Nimekuchagua ww-Bob ludala
  4. mpenzi wangu...... -Nyota % waziri
  5. Nataka niwe na ww milele - Ray C
  6. Zeze -TID
  7. Hidaya -Pasha
  8. Ni soo -Pasha
  9. Siwema -Jide
  10. Zuena-
  11. Robo Saa -Amin
  12. Malaika -Mama Africa
  13. Georgina
  14. Monicah
  15. Cheusi mangala
  16. Chaupele mpz

sante mpenzi yaani hizo za blue umenikumbusha mbali
 
- Machozi ya furaha (This is my best LadyJayDee song..yani mzuri kweli kweli, kuanzia lyrics, mdundo yani nyimbo nzuri ya mapenzi)..
....Nuru ooh ya kweli ndani imeingia , Mola yu kati yetu leo tumethibitisha...

- Nenda kamwambie-Diamond (hebu sikiliza huu wimbo kama hujawahi kusikiliza)

- Mpenzi nakupenda-Saida Karoli (sauti yake tu anavyoivutaa)

- Mpenzi kiziwi - (nimemsahau mwimbaji)

- Nataka niwe nawe - (kuna mtu namkumbuka sana nikisikia huu wimbo)

- Nimekuchagua wewe- (huu nimeusikia sana kwenye send-off parties na harusi..very romantic)
 
hapa sasa ndipo tutajua wa kinazilipendwa ni wapi na wabongo fleva ni wapi, lol
 
Back
Top Bottom