Ni hivi juzi tu mdogo wangu wa mwisho kwenye tumbo la mama yetu,Amos alipost;post isemayo "Woman_Lie_Man_Lie"Nilimsikitikia sana mdogo wangu,lakini sikumsikitikia eti alikosea kusema vile...
Naomba tu kujua ni aina gani ya mioyo na uvumilivu ambao wanao hawa Wahudumu wa Nyumba za Kulala wageni ambao wao maisha yao yote ni kuwakaribisha na kuwapeleka hadi Vyumbani Wateja wao waende...
Rejea kesi ya st florence primary school,
Kama mwanaume utakuwa umeshawahi jiuliza au kusikia watu wakisema bikira sikuizi za kutafuta kwa tochi, kusema kweli ukichukua wanaume 20 basi 3-5 tu...
umekaa na familia yako mnapanga budget ya familia, mnatenga fedha kwa ajili ya kulipia ada za watoto. Kesho Unaona jilani kanunua gari mpya ya kifahari na WEWE anachukua pesa mliyotenga kulipa ada...
Kwa muda mrefu sasa wazo la kuasili mtoto limekuwa likinivutia sana.
Limekuwa likinivutia hadi kunifanya nilifanye kuwa ndo moja ya baadhi ya azma zangu maishani.
Kwamba, ipo siku ambayo si...
Mi ni mwanaume Wa miaka 30 naishi singida,natafuta make serious,mwenye sifa zifuatazo
1.umri miaka 20--28
2.mwenye hofu ya mungu
3.elimu angalau kidato cha NNE
4 mkiristo
5. Asiwe mweusi.
Km upo...
Zamani kwa baadhi ya makabila mwanamke akikosea tu basi ategemee kipondo kizito kutoka kwa mumewe.Pia kuna baadhi ya makabila mwanamke hupigwa kwa kipande cha kanga.
Jambo lililonigusa kuuandika...
Natumai mko wazima wa afya, wakuu nimekuwa katika tafiti zangu juu ya wanawake kwa muda wa miaka minne.
Jambo nililogundua ni kuwa binti wengi wanaanza mapenzi wakiwa na umri mdogo tena na watu...
Umempata mwenza ili hali tayari unaye binti yako mashallah, anayekwenda 19-20 hivi.Hivi utatambuaje kama mwanaume uliyempata ni mkware ili uchukue tahadhari kwa binti yako huyo?
Au la, mnachukua...
Direct to the point,
Inashangaza emotional efforts nilizotumia, muda wangu na mali zangu kusaka penzi la huyu binti, lakini ghafla baada ya kula tunda sioni tena kitu special kwake.
Hii sio mara...
Ni taasisi muhimu sana katika jamii sababu inatengeneza familia ambayo baadae inakuwa jamii na mwisho Taifa.
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kuingia au kuunda taasisi hii bila kufikiri kwa...
Dunia yote inajua kuwa Mungu katika uumbaji wake alianza kuumba mwanaume,kisha mwanamke akatoka katika ubavu wa mwanaume.Mungu akamfanya mwanaume kumtawala mwanamke,na huyo huyo Mungu akamfanya...
Tuelimishane na kuwekana sawa hapa!
Kuna kautaratibu fulani kamezoeleka sana kwenye familia zetu (kubwa na ndogo)!
Kila mnapoachana mtu anadai chochote cha kumlinda! Kina unapoaga kwenda kazini...
Nimeukuta mahali, Mwandishi simfahamu maana hakujitambulisha.
My Rose, Rositha wangu @rosemdenye jana tumekupumzisha salama nyumbani Ludewa. Umelala hautaamka wala kurudi tena hata siku ya...
Ni mdada ambaye nimefahamiana naye kitambo baadaye tukawa marafiki na sasa nimeanza kutengeneza mazingira ya yeye kuwa mpenzi.
Ila kinachoniumiza ni status zake anazoweka WhatsApp na post zake...
MTAMBO WA MAUTI
BY: BEN R. MTOBWA
KIDOKEZO
Muhimbili, Dar es Salaama, Tanzania.
April 1, 2004
Madaktari bingwa sita, waliokubuhu katika taaluma ya tiba, waliduwaa mbele ya microscope wakishuhudia...
Kuna msichana ambaye tumejuana kwa wiki tatu sasa na tayari ameanza kuniomba pesa za mahitaji yake.
Hii hali sasa imeanza kunichosha naanza kumchukia taratibu siku zingine akipiga simu sipokei...
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Baada ya kusikia mwingine tena kapigwa na kitu kingine chenye ncha kali na kupoteza maisha, nilijikuta nikirudisha kumbukumbu zangu juu ya ngozi; ngozi za...
Natafuta mke wa kuweza kuwa mwenza wangu, kwa njia halali ya ndoa. Mimi ni Islam, umri wangu ni miaka 45, nina urefu wa futi 6, nina uzito wa kg 80, nipo kanda ya ziwa. Sifa za mke ninaye...