NATAFUTA MKE NIOE .

NATAFUTA MKE NIOE .

Lipijema

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2015
Posts
953
Reaction score
1,540
Natafuta mke wa kuweza kuwa mwenza wangu, kwa njia halali ya ndoa. Mimi ni Islam, umri wangu ni miaka 45, nina urefu wa futi 6, nina uzito wa kg 80, nipo kanda ya ziwa. Sifa za mke ninaye muhitaji (1) Umri kati ya miaka 25-40.(2)Awe mrefu angalau kuanzia ft5 na kuendelea, (3)Awe radhi kufuata dini yangu kama si wa dini yangu. (4)Mavazi ya staa yanausika sana.
 
Si huwa inasemwa mwanaume hana kikomo cha umuri(in magufuli's tone) wa kuoa.
Nikweli ila daahh piga 26 27 28 29 30 31 32 33 34 35 36 37 38 39 40 41 42 43 44 45 chafuuuu nahapa ukute miaka 2 imepunguzwa ..kote uko chafu???

Ila wenda jamaa aliwah oa ,ila wameachana au kuna sababu ingine , kwa umri huo hata watoto kweli asiwe nao ??.

Sema mambo mengine niyakwao wenyewe muoaji na muolewaji !!.
 
Age difference = 45-25 = 20, duuuh yani kidogo tu ufanye doubling ya umri wa make mtarajiwa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji4]
 
Teh teh teh labda kaishampiga kibuti [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kwahiyo mkuu huo umri hujawahi oa wala kuzaa huko ngoja wakuje
 
Kuwa na adabu kwanza uzi umeuwekea marangi macho yanauma.wasukuma mnapenda rangi za kung'aa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom