Uongo wa wanawake una misingi imara sana

Uongo wa wanawake una misingi imara sana

Innocent Kirumbuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
4,647
Reaction score
4,495
Ni hivi juzi tu mdogo wangu wa mwisho kwenye tumbo la mama yetu,Amos alipost;post isemayo "Woman_Lie_Man_Lie"Nilimsikitikia sana mdogo wangu,lakini sikumsikitikia eti alikosea kusema vile hapana!!Amos alikuwa sawa kabisa.Lakini hakufafanua vizuri yeye alichosema ni kifupi kuwa " si wanawake wala,wala wanaume nyote ni waongo"Lakini mimi nimeona si vibaya kumuelewesha mdogo wangu ili siku nyingine asije kulinganisha uongo wa wanawake na wanaume eti kuwa upo sawa hapana.

Ni kweli wanawake na wanaume wote ni waongo na wanadanganya,lakini uongo huu wa binadamu hawa wawili unatofautiana sana.Kwa maana uongo wa wanawake ni uongo uliojengeka na misingi imara,na ni uongo wa kudumu.lakini uongo wa wanawaume ni uongo usio na uimara wowote,tena ni uongo usiodumu.

Mwanaume humdanganya mwanamke pale amtakapo kimapenzi,na baada ya hapo uongo ule hufa na kifuatacho ni kweli tupu!!ndio maana nikasema uongo wa mwanaume ni uongo usiodumu.Lakini mwanamke adanganyapo uongo wake huuwekea misingi imara isiyoyumba ili uongo ule udumu milele,ngoja nitoe mfano;msichana anapikuwa na mahusiano na wavulana watatu tofauti,anapopata ujauzito huwa si ujauzito wa wote watatu,bali huwa ni wa mvulana mmoja.

Mschana yule huwa ndiye anayejua kuwa huo ujauzito ni wa nani;lakini huenda ikawa mwenye ujauzito ule ni maskini,sasa binti inabidi atafute ni nani mwenye kijiuwezo cha kulea ule ujauzito na anapewa mzigo usio mhusu.Na kijana yule aliyepewa ujauzito usio wake kwa kudanganywa,akijikuta ana akili kama ya Mwana Wa Mfalme asiyetaka kutelekeza mimba lazima atamchukua binti yule na kumuoa bila kujua kuwa mimba kapewa ofa!!Sasa wawili hawa watakapo-oana basi binti yule itabidi afiche sana siri kuwa ujauzito huo haukuwa wa mvulana yule aliyemuoa,Na hapo ndipo misingi imara ya uongo wa wanawake unapojengwa.maana wataishi miaka 30 huku jamaa akijidanganya kuwa mwana ni wake,na mabinti wasivyokuwa na aibu atakuwa anamwambia vijimaneno kama hivi "aise damu yako kali kweli ona mlivyofanana na mwanao,ona nywele na kucha kama wewe kabisa"Na wanaume mnavyopenda sifa utavimba kichwa kweli,bila kujua kucha ni nyeupe na nywele ni nyeusi waafrika wote tunafanana.

Amos watake radhi wanaume wenzio kwa kuwalinganisha uongo wao na uongo wa wanawake.

[HASHTAG]#Wanaume[/HASHTAG] Mungu awabariki sana#
 
Ni hivi juzi tu mdogo wangu wa mwisho kwenye tumbo la mama yetu,Amos alipost;post isemayo "Woman_Lie_Man_Lie"Nilimsikitikia sana mdogo wangu,lakini sikumsikitikia eti alikosea kusema vile hapana!!Amos alikuwa sawa kabisa.Lakini hakufafanua vizuri yeye alichosema ni kifupi kuwa " si wanawake wala,wala wanaume nyote ni waongo"Lakini mimi nimeona si vibaya kumuelewesha mdogo wangu ili siku nyingine asije kulinganisha uongo wa wanawake na wanaume eti kuwa upo sawa hapana.Ni kweli wanawake na wanaume wote ni waongo na wanadanganya,lakini uongo huu wa binadamu hawa wawili unatofautiana sana.Kwa maana uongo wa wanawake ni uongo uliojengeka na misingi imara,na ni uongo wa kudumu.lakini uongo wa wanawaume ni uongo usio na uimara wowote,tena ni uongo usiodumu.Mwanaume humdanganya mwanamke pale amtakapo kimapenzi,na baada ya hapo uongo ule hufa na kifuatacho ni kweli tupu!!ndio maana nikasema uongo wa mwanaume ni uongo usiodumu.Lakini mwanamke adanganyapo uongo wake huuwekea misingi imara isiyoyumba ili uongo ule udumu milele,ngoja nitoe mfano;msichana anapikuwa na mahusiano na wavulana watatu tofauti,anapopata ujauzito huwa si ujauzito wa wote watatu,bali huwa ni wa mvulana mmoja.Mschana yule huwa ndiye anayejua kuwa huo ujauzito ni wa nani;lakini huenda ikawa mwenye ujauzito ule ni maskini,sasa binti inabidi atafute ni nani mwenye kijiuwezo cha kulea ule ujauzito na anapewa mzigo usio mhusu.Na kijana yule aliyepewa ujauzito usio wake kwa kudanganywa,akijikuta ana akili kama ya Mwana Wa Mfalme asiyetaka kutelekeza mimba lazima atamchukua binti yule na kumuoa bila kujua kuwa mimba kapewa ofa!!Sasa wawili hawa watakapo-oana basi binti yule itabidi afiche sana siri kuwa ujauzito huo haukuwa wa mvulana yule aliyemuoa,Na hapo ndipo misingi imara ya uongo wa wanawake unapojengwa.maana wataishi miaka 30 huku jamaa akijidanganya kuwa mwana ni wake,na mabinti wasivyokuwa na aibu atakuwa anamwambia vijimaneno kama hivi "aise damu yako kali kweli ona mlivyofanana na mwanao,ona nywele na kucha kama wewe kabisa"Na wanaume mnavyopenda sifa utavimba kichwa kweli,bila kujua kucha ni nyeupe na nywele ni nyeusi waafrika wote tunafanana.Amos watake radhi wanaume wenzio kwa kuwalinganisha uongo wao na uongo wa wanawake.[HASHTAG]#Wanaume[/HASHTAG] Mungu awabariki sana#

No paragraphs?

Where dey do dat at?
 
kuna mwanamke nilimdanganya nina noah zangu sita bandarini
zikitoka nitampa moja
muda unaenda tu bado ananipa
sijui kashtuka kaamua kukausha au bado

ila hajaniacha
 
kuna mwanamke nilimdanganya nina noah zangu sita bandarini
zikitoka nitampa moja
muda unaenda tu bado ananipa
sijui kashtuka kaamua kukausha au bado

ila hajaniacha
Amesha jua umemdanganya ila subiri yeye siku akudanganye utakaa ujuwe milele
 
Mmh. Mbona kama hao wanawake walio na watoto ambao wanalelewa na baba sio wao huwa wengine wanashindwa kujizuia hadi wanaropoka au kuropoka huwa ni kutunza uongo hapo?

Kila jinsia kwa aina ya uongo wake anaweza ufanya wa muda au ukawa wa kudumu na sio Ke peke yao.
 
34156930_1515789531858243_1044963700575830016_n.jpg
 
Mkuu kama unakunywaga FANTA agiza

Nakuja KULIPIA..
 
Mmh. Mbona kama hao wanawake walio na watoto ambao wanalelewa na baba sio wao huwa wengine wanashindwa kujizuia hadi wanaropoka au kuropoka huwa ni kutunza uongo hapo?

Kila jinsia kwa aina ya uongo wake anaweza ufanya wa muda au ukawa wa kudumu na sio Ke peke yao.
Wanawake niye waongo sana yani nilishadanganywa na demu kuwa ni bikira kumbe kashatoa mimba kama tatu hivi na ana mtoto wa latatu kabisa
 
Back
Top Bottom