Baada ya kula tunda sioni kitu 'special' kwake

Baada ya kula tunda sioni kitu 'special' kwake

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,393
Reaction score
1,462
Direct to the point,

Inashangaza emotional efforts nilizotumia, muda wangu na mali zangu kusaka penzi la huyu binti, lakini ghafla baada ya kula tunda sioni tena kitu special kwake.

Hii sio mara ya kwanza kupatwa na feeling kama hizi ila utokea tena kimbelefront cha kutaka kujua kama yaliyomo yamo kwa wasichana wengine.

Kitu nikichokuja kugundua nyege ndo tatizo ila kimsingi hakuna jipya kwa wasichana.
 
direct to the point
Inashangaza emotional efforts nilizotumia, muda wangu na Mali zangu kusaka penzi la uyu binti, lakini gafla baada ya kula tunda sioni tena kitu spesheli kwake.

Hii sio Mara ya kwanza kupatwa na feeling kama hizi ila utokea tena kimbelefront cha kutaka kujua kama yaliyomo yamo kwa mademu wengine.

kitu nikichokuja kugundua nyege ndo tatizo ila kimsingi hakuna jipya kwa mademu.
Ni kweli.
 
Punguza tamaa za kimwili, kama una uwezo wa kuowa tafta wa kuowa utainjoy, mali itatulia na utakua na familia bora kabisa. Ukitembea na wengi unajipunguzia hadhi na baraka ktk maisha yako.
 
direct to the point
Inashangaza emotional efforts nilizotumia, muda wangu na Mali zangu kusaka penzi la uyu binti, lakini gafla baada ya kula tunda sioni tena kitu spesheli kwake.

Hii sio Mara ya kwanza kupatwa na feeling kama hizi ila utokea tena kimbelefront cha kutaka kujua kama yaliyomo yamo kwa mademu wengine.

kitu nikichokuja kugundua nyege ndo tatizo ila kimsingi hakuna jipya kwa mademu.
una umri gani bwana mdogo?
 
Back
Top Bottom