Ikiwa unakosa hata raha ya kuishi kwa ajili yao ufanye nin.Ndoa haivunjiki bali inavunjwa. Ndoa yaweza kuvunjwa wakati wowote,ili mradi kuepusha tu maafa zaidi. Mfano wanandoa kuwindana ili wauane mimi naona ni sababu tosha ndoa kuvunjwa iwe ya kidini au kimila.
wakwe na mawifi hawana nafasi katika ndoa ndoa ni ya wawili yaani mume na mke.
Hilo ni sawa kabisa.sasa je ni sawa kuamua kwenda kuishi mwenyewe ili kuacha familia za watu ziishi kwa amani japo mume atabaki kuwa mumeWakwe na mawifi hawavunji ndoa ya kikiristo.Ndoa ya Kikristo inavunjwa na vitu viwili tu,Kifo na Zinaa.Tofauti na hapo hakuna tena.Mnaweza mkaacha na hata Padre au mchungaji wakakubaliana na nyie lakini Biblia inasema yeyote atakaye muoa huyo mwanamke atakuwa anazini.
Je wanapojaribu kuingilia kila kitu kiasi kwamba hakuna jema kwao unahisi nin kifanyikeKwanza ndoa kuvunjika sio mpango wa MUNGU (kwa wa kristo)
Kwa hiyo sahau ndoa kuvunjika.
Mkwe au wifi sio sehemu ya ndoa yako ni sehemu ya familia kwenye ndoa yako.
Mtu anapoleta jambo hapa liwe linamuhusu yeye au rafiki au pengine ndugu yake huwezi jua yuko katika hali gani kama unahisi hukuwa na la kusema ungenyamaza tu.maana maumivu ya mtu mwingine sio rahisi kuyajua.take thatAcha gubu dada.
Asante saana na MUNGU akubarikiAsante sana ukawa2,nimerud maana nlikuahid naomba ukasome MATHAYO 19:9 nakuendelea. Pia 1WAKORITHO 7:39 na MWANZO 24:58.km hajazin mawif,mamamkwe,majiran,wapitanjia wanatoka wap dada km unapendwa? Mume asimame kwenye WAEFESO 5:25 na ww usimame hapohapo ila 5:22.ss utakuwa umenielewa.
Hapana bali wamekuwa changamoto mno.kwan we ndoa ulifungishwa na hao mawifi na wakwe