Kwanini mwanamke akisemwa hulia?

Kwanini mwanamke akisemwa hulia?

Okinawan

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2018
Posts
254
Reaction score
261
Zamani kwa baadhi ya makabila mwanamke akikosea tu basi ategemee kipondo kizito kutoka kwa mumewe.Pia kuna baadhi ya makabila mwanamke hupigwa kwa kipande cha kanga.

Jambo lililonigusa kuuandika uzi huu ni kwamba kuna jamaa yangu tangu ameoa ikitokea mke wake amekosea na jamaa akimsema na kumsihi hiyo/hicho kitendo asikirudie tena basi huyo mwanamke huwa analia sana.

Imefikia kipindi jamaa anaogopa kabisa kumsema maana watoto watakapomuona mama yao analia huenda wakawa na chuki na kisasi kwa baba yao (ieleweke kuwa jamaa hatasiku moja hajawahi kumsema mkwewe mbele ya watoto au mbele ya watu).

Je, tabia hii ya kulia lia pale unapokosolewa wanawake wameitoa wapi? Au ni kinga ya kutuzuia sisi wanaume tusiendelee kuongea au ni njia ya kutafuta huruma na kujenga dhana kwamba wanawake ni vumbe dhaifu.

Asanteni wanajamii naomba niwasilishe hoja.
 
wanalia kwa sababu hawawezi acha hicho wanachokatazwa, kifupi mwanamke akifanya jambo hukulipenda na ukamkanya ukiona analia tegemea tu haipiti hata miezi miwili kama sio siku mbili atarudia..
 
Zamani kwa baadhi ya makabila mwanamke akikosea tu basi ategemee kipondo kizito kutoka kwa mumewe.Pia kunabaadhi ya makabila mwanamke hupigwa kwa kipande cha kanga.

Jambo lililonigusa kuuandika uzi huu ni kwamba kunajamaa yangu tangu ameoa ikitokea mke wake amekosea na jamaa akimsema na kumsihi hiyo/hicho kitendo asikirudie tena basi huyo mwanamke huwa analia sana.Imefikia kipindi jamaa anaogopa kabisa kumsema maana watoto watakapomuona mama yao analia huwenda wakawa na chuki na kisasi kwa baba yao ( ieleweke kuwa jamaa hatasiku moja hajawahi kumsema mkwewe mbele ya watoto au mbele ya watu).

Je,tabia hii ya kulia lia pale unapokosolewa wanawake wameitoa wapi? Au ni kinga ya kutuzuia sisi wanaume tusiendelee kuongea au ni njia ya kutafuta huruma na kujenga dhana kwamba wanawake ni vumbe dhaifu.

Asanteni wanajamii naomba niwasilishe hoja.
Hiyo ni drama tu, kwa maana nyingine hiyo ndio silaha yao.
 
mwanamke sio dhaifu nakataa..mwanamke anatembea na mimba miezi kibao, huku mwanaume ukipata kijipu tuu hata kukaa nacho siku mbili mtaa mzima utajua we mgonjwa...akili nyingi sana hawa wandugu hasa wanapojua kuzitumia
 
Hyo n njia ya kutaka kuacha kumsema lakn haimaanish kwamba uo utumbo wake ataacha kufanya
Na ili ilete maana mzabue makofi ili akiwa anaendelea kuliwa sababu ya msingi iwepo
 
kudadaaadeki sie tunaopenda mambo ya oversize chumbani, mara nyingi supu zetu ni hizi za kienyeji....unamsema na yeye anakusema, mnakuwa kama mpo mnadani, zogo mtindo mmoja, mwisho unataka kumpiga, akwambia nipige kama wewe mwanaume kwel, yaani kama kweli wewe una mapu...u nipige, hapo kashika kisu joh,..ukiangalia una watoto wawili, alafu hawafanani...aagh
 
Zamani kwa baadhi ya makabila mwanamke akikosea tu basi ategemee kipondo kizito kutoka kwa mumewe.Pia kunabaadhi ya makabila mwanamke hupigwa kwa kipande cha kanga.

Jambo lililonigusa kuuandika uzi huu ni kwamba kunajamaa yangu tangu ameoa ikitokea mke wake amekosea na jamaa akimsema na kumsihi hiyo/hicho kitendo asikirudie tena basi huyo mwanamke huwa analia sana.Imefikia kipindi jamaa anaogopa kabisa kumsema maana watoto watakapomuona mama yao analia huwenda wakawa na chuki na kisasi kwa baba yao ( ieleweke kuwa jamaa hatasiku moja hajawahi kumsema mkwewe mbele ya watoto au mbele ya watu).

Je,tabia hii ya kulia lia pale unapokosolewa wanawake wameitoa wapi? Au ni kinga ya kutuzuia sisi wanaume tusiendelee kuongea au ni njia ya kutafuta huruma na kujenga dhana kwamba wanawake ni vumbe dhaifu.

Asanteni wanajamii naomba niwasilishe hoja.

Kwa faida yako tu na ya wengine wote Kisaikolojia ukiona Mwanamke analia jua ya kwamba hapo anafanya au anakufanyia ' Unafiki ' Mtupu. Wanawake wengi baada ya kugundua kuwa ' huruma ' yao kubwa mbele ya Wanaume au katika kupata Kitu fulani ni kwa kutumia mbinu ya ' Kulia ' basi wameweza kufanikiwa sana katika kufanikisha mambo yao.

Ni 1% ya Vilio vya Wanawake huwa ni kweli au wanamaanisha ila 99% ya ' Vilio ' vyao huwa ni vya Uwongo na vilivyojaa Unafiki mtupu na inakutaka uwe na mbinu kubwa katika kulijua hili na kuwajua vilivyo Wanawake. Ukitaka kulijua hili ' vividly ' kabisa ukiwa Msibani siku yoyote wachunguze wale Wanawake / Wajane wanaolia sana pale mbele huku wakijigalagaza na wengine hadi Kuzimia siku ya tatu ( 3 ) baada ya Msiba / Maziko huwa wanakuwaje.

au siku yoyote ukikutana na Mwanamke anayelia mvizie dakika kuanzia 10 hadi 15 baadae nenda kamuangalie unaweza ukashangaa kama ndiyo yule ambaye ulimuona akiwa analia muda mfupi uliopita. Mimi kuna mmoja nakumbuka wakati nafanya nae Tendo la Uzinifu ( siliiti la Ndoa kwakuwa bado sijaona ) muda wote Mkeyenge / Uume wangu ulipokuwa unachanja mbuga Mbunyeni / Ukeni Kwake Yeye alikuwa analia tena Kilio kikubwa tu kana kwamba labda nimemdhuru na nilipomaliza tu ' Kumkojolea ' nikamuuliza mbona alikuwa akilia namna ile hadi kusababisha Mimi kila mara kugongewa Mlango na Mhudumu wa ile Gesti jibu fupi na jepesi tu alilonipa ni kwamba alikuwa akisikia ' Utamu ' ambao tokea ' abikiriwe ' hakuwa Kuupata.

Kama hiyo haitoshi nimeshawahi kumshuhudia Mwanamke mmoja akilia machozi kabisa mbele ya Mpenzi wake huku akimtuhumu kuwa alikuwa akimsaliti na Jamaa akawa anajitahidi Kumbembeleza lakini mara ghafla tu Jamaa alipoingia ndani huyu Mwanamke akawa anacheka huku akimzomea kwa ishara na Jamaa ' liliporudi ' tena nje Mwanamke akaendelea tena na zoezi lake la makusudi la Kulia.

Sijajua kwa Ndugu zetu Waislamu ila kwa Wakristo hata katika Kitabu chetu Kitakatifu tumeshaonywa mapema tu kuwa tukae nao hawa ( Wanawake ) kwa akili sana na kuna ' aya ' moja ndani ya Biblia naomba wale Wasomaji wazuri wa Biblia muiweke hapa inasema kwamba usiamini ' Kilio ' cha Mwanamke halafu mbele yake yakaelezwa mengi sana juu ya ' Kilio ' cha Mwanamke.
 
kudadaaadeki sie tunaopenda mambo ya oversize chumbani, mara nyingi supu zetu ni hizi za kienyeji....unamsema na yeye anakusema, mnakuwa kama mpo mnadani, zogo mtindo mmoja, mwisho unataka kumpiga, akwambia nipige kama wewe mwanaume kwel, yaani kama kweli wewe una mapu...u nipige, hapo kashika kisu joh,..ukiangalia una watoto wawili, alafu hawafanani...aagh
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Siku zote ukwel unauuma

Ukiona mwanamke analia ujue ukwel umemwingia sasa hapo huwa analia ili ujue kwamba umemsingizia au anajuta kwa kile alichokifanya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom