Single mothers: Mnachukuaje tahadhari ikiwa una mwanaume na una binti umri wa 19-20?

JOTO LA MOTO

JF-Expert Member
Apr 11, 2018
758
555
Umempata mwenza ili hali tayari unaye binti yako mashallah, anayekwenda 19-20 hivi.Hivi utatambuaje kama mwanaume uliyempata ni mkware ili uchukue tahadhari kwa binti yako huyo?

Au la, mnachukua tahadhari gani hata kama huoni dalili mbaya kwa mwenza wako huyo? Maana dunia ya leo umdhaniaye ndiye siye.

Ni juzi kati tu hapa nimesikia kisa cha baba na bintiye wa kambo kati ya visa lukuki vinavyotokea kila kukicha.
 
Hahahaha kuna rafiki yangu mmoja hivi ndio imemtokea hvyo,,,ila mwisho wa siku akahamua kuachana na mama mtu kabisa na anataka kumuoa mwanae,mama karidhia
Ni wenyeji wa Mkoa gani?

kwani kuna kisa kinashabihiana na hicho...kuna jamaa alikuwa na Mama Mtu na baadae akahamia kwa binti na mpaka akazaa naye..ila kwa Mama hawakuzaa.

Mama akakaa pembeni Mtoto akaendelea na maisha kwa roho safi, sema jamaa naye alikuwa na mpunga wa maana.
 
Buguruni dasilama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom