Wakuu inakuaje Mke anathamini na kusikiliza ndugu zake kuliko mumewe? Mfano, tumefunga ndoa miaka 10 iliyopita (2008) kama tunavyoonekana pichani. Peter''s RC church Dar baadae nilihamishiwa...
Wanaume wengi kwenye sita kwa sita utawakuta kimya tu madai wanasikilizia uhondo, jamani wanaume mnatuonea aibu?
Mfano mimi kwangu raha mpenzi aongee aniambie anavyojisikia wapi...
NAKUMEGEA VIPANDE VYA KANUNI ZITAKAZO PELEKEA UZURI WAKO ULIONAO UBAKI SALAMA KWA KIPINDI CHOTE WA WORLD CUP
KANUNI[emoji116]
1: Remote ya TV hakikisha muda wote iko mikononi mwangu.
2: Wakati...
Heshima kwenu wakuu. Nina rafiki yangu anaitwa Eddi(sio jina halisi) tunashibana sana na tunashea story nyingi sana. Ana mke na wana mtoto mmoja, na wako kwenye ndoa miaka nane sasa. Last week...
Moja ya mambo ambayo yanafurahisha, yanaburudisha, yanaimarisha upendo miongoni mwa wapendanao ni kutoka Out.
Mara ya mwisho ulitoka Out lini na Umpendae?
Ni hivi, unapopigiwa simu kuwa baba Kajanja ametoka kazini lakini yuko bar. Bahati nzuri mmoja wa wahudumu wa pale ni binamu yako, nae amechoshwa na ile tabia ya kumuona shemeji yake anakuja na...
Habarii wakuu,
Hakuna kitu kinachoudhi na kuumiza moyo kama unamfatilia msichana/mwanamke hafu anakusumbua kwa visababu vya hovyo. Au anakuzungusha tu eti kukupima imani.
Enyi binaadam wenzangu...
Habari za asubuhi ndugu wanajamvi wenzangu,
Nisiwachoshe sana niende moja kwa moja kwenye mada,
Mimi ni kijana mwenye miaka 38 hivyo niliona umri unanitupa mkono japo nitafute wa kuishi nae kwa...
Habari zenu wana jf,
Bila kupoteza muda nataka tushare hili jambo yani mara yako ya kwanza kuona filamu ya ngono uliichukuliaje??
Kwa upande wangu filamu za ngono niliziona kwa mara ya kwanza...
Habari za mida hi wakuu niende direct kwenye point. Nikwa mda mrefu ila sio sana nilikua mwanachama wa chaputa nahis ni tokea mwaka jana mwez wa nne nilijiunga rasmi kwenye chama hich cha chaputa...
Nina miaka mitatu (3) sija sex, hata hivyo nina mashine ndongo, hivyo nakuwa naogopa niki sex na msichana naweza nisimriidhishe, nifanyaje wadau maana umri unaenda na natamani sana kuwa na GF ila...
Ndugu yangu mmoja alinisimulia madhira yanayompata ktk maisha yake ya mahusiano, anasema mpaka sasa ana ndoa nne zimevunjika hata kabla ya wiki mara baada ya kufunga ndoa na hatimae kurudishiwa...
Ni kwamba......
Siyo kila Mwanaume anayekuuliza Watoto hawajambo ana nia nzuri nawe bali kuna wengine wanaulizia Kijanja Watoto wao unaowalea wanaendeleaje.
Halafu.....
Unaweza ukawa unamfuta...
Za muda huu wana JF,
Msimamo wangu katika maisha niliapa sitathubutu kuoa au kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke aliyezalishwa au anayefanya kazi bar. Sababu na msimamo ni za kwangu na...
Habari wana jukwaa,leo nimefungulia redio sibuka nipo zangu narudi maskani natokea kibaruani. Nasikia tangazo la idara ya afya simiyu linatangaza tohara kwa vijana wadogo na watu wazima above 18 ...
Kwa wale Kingereza kitawapiga chenga, hapa nawapa maana yake kwa ufupi tu, kwamba wanawake wengi hulalamika
- Niliachia akanigegeda na baada ya hapo akaniacha
- Nilimkaushia bila kuachia...
Upo kwenye mahusiano na mwanamke lakini ikatokea mmegombana na kuombana msamaha lakini mnakua bado hamjarudi kwenye hali ya kawaida kama awali sababu huenda kwa upande wa mwanamke hataki kuonekana...
Wakuu,
Kwa kipindi kirefu sana nimekuwa nikiona wingi wa dada zetu kujichora Tatoo, kuongezeka kwa usagaji, kuongezeka kwa wadada wadogo kuwa kwenye mahusiano ya kingono na wazee wakubwa kuliko...
Habarini wakuu,
Leo kuna sehemu nilikwenda kumcheki jamaa yangu mtaa fulani amehamia hivi karibuni ila sehemu anayokaa sipajui, katika pitapita zangu nikakutana na binti mmoja nikamuita...