Upo kwenye mahusiano na mwanamke lakini ikatokea mmegombana na kuombana msamaha lakini mnakua bado hamjarudi kwenye hali ya kawaida kama awali sababu huenda kwa upande wa mwanamke hataki kuonekana ameukubali haraka msamaha wako ili kosa ulilomfanyia lisijirudie.
Kidume unaamua kumuuliza kama anaamuaje kwa maana ya kwamba atamke kwa kinywa chake ili kila mtu achukue hamsini zake na unakua tayari ku break relationship baada ya kuonekana kama anakukazia flani lakini yeye anakujibu "mimi siwezi kusema chochote"
Je anapojibu hivi mtoto wa kike anakua anamaanisha nini ?
Karibuni tuweze kushare maujuzi