wanawake wanaolalamika wanaume ni waongo

wanawake wanaolalamika wanaume ni waongo

toriyama

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
1,559
Reaction score
3,215
Mwanamke kutwa unalalamika wanaume waongo kwenye mapenzi wakikutumia tu wanasepa, huna hata akili ya kufikilia kwann kwako wagonge wasepe hawaingii ndani?

Na daily unahudhuria harusi za wasichana wenzio wakiolewa? Au wao wanaolewa namajini eti?

hii dhana kujiona watoto wa mjini, wanawake wa kisasa sijui, basi ndo mnakuwa kama makuku ya kisasa kweli hamfai kwa kufugwa shida tupu!! Maana makuku ya kisasa ukitaka kuyafuga basi ujipange kweli kweli kuanzia mtaji wa kipesa hadi muda wa kuyahudumia!! Ndo nyie sasa, yaani kiukweli wanawake wa sikuhizi hata radha mmeisha kabisa

We unataka mwanaume akuoe wakati hujawahi kujiongeza hata kusema umfulie, kazi kumsifia kapendeza hujui hata anafuliwa na nani?

Hujawahi hata kumpikia kazi kumsifia ananenepa hujui hata anakula wapi, halafu unataka ndoa?

kila siku ukienda gheto kwake we kazi kuulizia series za kikorea kama kaleta mpya, huulizi hata Leo unanunua mboga gani nije kukupikia, mwanamke mzima bila haya unaenda kwa bwana wako unafika unalia njaa halafu unamuagiza kabisa akakununulie chips kuku! Halafu unataka atoe posa kwenu?? Kazi mnayoijua ni kuomba omba hela tu utazani watoza ushuru wa manispaa?

Mkifulia Ndo mnajifanya kusema "Bby nimekumiss nataka nije leo"

kumbe pesa Ndo inayokupeleka, mkishafumuliwa fasta mnaomba nauli na hela ya kula hata kukumbuka kutoa shuka utandike nyingine huna mda huo, tunawajua Sana ila tunawatazama tu mnajiona wajaanja kumbe mnajishusha wenyewe,

haya mambo mnayaona ya kipuuzi lakini ndo uchawi kwa mwanaume ajue thamani yako, asifikirie kukupoteza hata siku moja, sasa nyie endeleeni tu kufuata hela, mnaenda kwa wanaume mmejikoki sado
lin za rangi mdomoni, machoni mpaka mtu anashindwa kukukiss! Umefuga makucha utazani visu vya kukeketea??

sijui hata mnasafishaje maumbile yenu, unakuta unang'aa usoni utazani duka la wahindi lakini ndani unatoa uvundo aisee mtalalamika Sana nawaambia, wanaume Ndo sisi mnaotuletea nyodo Ndo tunapaswa kuwaoa, tutawanyoosha mpaka mjute kuzaliwa!

Pendeni hela tuwazeeshe
 
Kweliii demu ana kuja ghetto uso umekolea poa ka Nsyuka ,mikucha mirefu ka shetani wa mguu mmoja
 
DemHPIIUYAAtTzZ.jpg
 
Mkuu sio wote lazima tuolewe wengine acha tucheze kwaito za wenzetu

Nijitume we nikufulie nikufanyie usafi nikupikie mwisho wa siku unaniacha house gal wako unaoa mwingine mwanaume muoaji anaonekana tu [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
..
 
Kimsingi tukubaliane kwamba
1. Wanaume wa kuoa tupo wachache na wanawake wa kuolewa wapo wachache.Wengi ni wachezaji tu (players)
2. Wanawake wameamua kuwa "WADANGAJI"na wanaume tumeamua kuwa "WADANGWAJI" au "KULA NA KUSEPA" kwa hiyo wote tuna makosa tusileteane makelele.
3.Kama unataka kuoa/olewa hakikisha unamshirikisha MUNGU upate mtu sahihi maana wengi "SERIOUSNESS NA MAPOZI" vimezidi mpaka vinaboa

Nawasilisha
 
Girls, don't let such threads weigh your hearts down.

Mkaona ndoa ngumu sana kuipata. Mpaka muende ghetto mkawajibishwe kwa kufua, kusafisha, kupika na kuliwa juu.🙄🙄🙄

Taratibu na nyie wanaume.

Shubaaaamiiiit.😛😛😛
 
Pungua hasira
 
Mkuu sio wote lazima tuolewe wengine acha tucheze kwaito za wenzetu

Nijitume we nikufulie nikufanyie usafi nikupikie mwisho wa siku unaniacha house gal wako unaoa mwingine mwanaume muoaji anaonekana tu [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Wala msijistress.

Wao wakae miguu juu wanezowea kufuliwa makwao.

Wakipata madem miguu juu wanapiga maji ama wapo vijiweni na washkaji nyie mpo ndani mnaanza majukumu ya ndoa mapemaaaa.

Mpaka mnafika kwenye hizo ndoa hakuna jipya. Mshajichokeaaaaa.

Hebu jipumzisheni na nyie watoto wazuri.
 
Back
Top Bottom