Mke kuthamini ndugu zake kuliko Mume

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,537
32,144
Wakuu inakuaje Mke anathamini na kusikiliza ndugu zake kuliko mumewe? Mfano, tumefunga ndoa miaka 10 iliyopita (2008) kama tunavyoonekana pichani. Peter''s RC church Dar baadae nilihamishiwa kikazi Namanga miaka 5 iliyopita (Mke akabaki Dar lakini Mke hajawahi kuja kunitembelea hata mara 1 japo mm najitahid kila mwezi naenda kusalimia Dar. Nikiuliza anadai yupo bize. La ajabu mara kadhaa anasafiri kwenda Mwanza kumuuguza mjomba (mwenye Mke na watoto). Nimeduwaa, nimeamua kuwa mpole kwa muda ili kupisha hasira hii.
 

Attachments

  • 20663709_678784005645058_79785597074141564_n.jpg
    20663709_678784005645058_79785597074141564_n.jpg
    60.4 KB · Views: 54
Wakuu inakuaje Mke anathamini na kusikiliza ndugu zake kuliko mumewe? Mfano, nilihamishiwa kikazi Namanga miaka 5 iliyopita (Mke akabaki Dar lakini Mke hajawahi kuja kunitembelea hata mara 1 japo mm najitahid kila mwezi naenda kusalimia Dar. Nikiuliza anadai yupo bize. La ajabu mara kadhaa anasafiri kwenda Mwanza kumuuguza mjomba (mwenye Mke na watoto). Nimeduwaa, nimeamua kuwa mpole kwa muda ili kupisha hasira hii
We huenda hujaelewa kinachoendelea, hamna mjomba wala shangazi, kuna jibaba linakatikia kiuno sahv huko, subiri utaambiwa bibi kafariki anaenda kukaa mwez msibani ila we usiende mtumie tu mchango wa msiba...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom