Hivi kila dada akiitwa anajua anataka kutongozwa?

CUBICBOY

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
306
223
Habarini wakuu,

Leo kuna sehemu nilikwenda kumcheki jamaa yangu mtaa fulani amehamia hivi karibuni ila sehemu anayokaa sipajui, katika pitapita zangu nikakutana na binti mmoja nikamuita anielekeze nimepotea njia, ile kumuita tu akasonya akaondoka, akapita wa pili nikamuita ananiangalia kwa dharau akaondoka na akapita wa tatu nikamuita akasema anakujua akaondoka, nikashindwa hata kuwauliza ikabidi nimpigie jamaa anifuate.

Hivi kwanini wadada wengi mnafikira potofu hivyo?
 
Wakwanza/wapili/watatu? ulikua unawaita oyaaa? wee dada,, ? psiii psiiii, wee sista nakuomba .

mazingira yalikuaje ulokuepo yalikuaje? na mwonekano wako ulikuaje??,ulivaa kuonekana msela?au mtanashati ? au kiafsa ?

mimi nimzee wa machomekeo tuu kadeti na mashati , huenda ndo maana wananichangamkiaga sana hata ivo nachukiaga videmu vinavyojipa ukisasa ulopitiliza.

kuna videmu badala ya kumjali mtu kwa utu wake, vyenyewe vinakimbilia mwonekano wake nanamna anavyonukia.

pole sana mkuu.
 
ungekua na gari hakya Mungu hawangezingua..si ajabu ungetommba hapo hapo
 
Wakwanza/wapili/watatu? ulikua unawaita oyaaa? wee dada,, ? psiii psiiii, wee sista nakuomba .

mazingira yalikuaje ulokuepo yalikuaje? na mwonekano wako ulikuaje??,ulivaa kuonekana msela?au mtanashati ? au kiafsa ?

mimi nimzee wa machomekeo tuu kadeti na mashati , huenda ndo maana wananichangamkiaga sana hata ivo nachukiaga videmu vinavyojipa ukisasa ulopitiliza.

kuna videmu badala ya kumjali mtu kwa utu wake, vyenyewe vinakimbilia mwonekano wake nanamna anavyonukia.

pole sana mkuu.
Nilijaribu kunyenyekea tena kwa kuomba samahani dada
 
We jamaa una swaga zangu kabisa. Yaan sometimes wanadhan ni askari maana nimekaa kijesh.. lakin kumbe wala siko hivyo.
 
Kama umechomekea fresh mkanda njee...aahh hawachomoi mzee,ila suruali ndo ipo makalioni boxer la tmk wanaume linaonekana,kichwani umefuga kamchicha kako hapo hamna mtu atageuka
 
We jamaa una swaga zangu kabisa. Yaan sometimes wanadhan ni askari maana nimekaa kijesh.. lakin kumbe wala siko hivyo.
Hahahahaha umezaliwa mwezi upi? Usikute na elimu ya unajimu pia inatuweka kundi moja.

Kweli tena ,ukivaa mavazi ya kuchomekea yenye ukisasa ,aiseee wadada hawasumbui. Wanakuchangamkia kila ukiongea nao, hawaishi kutabasamu uson mwao., wee kwao unakua ni mwenyeji hata km nimara yakwanza kukutana , wanajiamin. Hawaoni haya kuongozana naww au kusimama naww mahali , wanakua namoyo wakukusaidia mahitaji yako mpaka mwisho.

Wanashindwaga kunijua nashugulika nann.mwingine atakuambia unafanya kazi bank gan? Au we ni mwanasheria?? Wee ninan kaka.. Nanamba za simu juu

Kuuuuuuumbe ni mchunga ng'ombe mmoja tu.
 
Nilijaribu kunyenyekea tena kwa kuomba samahani dada
Unyenyekevu hupaswi kuvuka kiasi mpaka ukaonekana km ni unaogopa kuongea nahuyo mwanamke.

Wanawake bana, wanataka ujiamin alafu umuhwshimu.

Sio umnyenyekee kupita kiasi nabado ukawa hujiamin.

Jiamin mkuu , alafu unamface kwa busara tu .na unamfuata wee nasio yeye akufuate.
 
Hahahahaha umezaliwa mwezi upi? Usikute na elimu ya unajimu pia inatuweka kundi moja.

Kweli tena ,ukivaa mavazi ya kuchomekea yenye ukisasa ,aiseee wadada hawasumbui. Wanakuchangamkia kila ukiongea nao, hawaishi kutabasamu uson mwao., wee kwao unakua ni mwenyeji hata km nimara yakwanza kukutana , wanajiamin. Hawaoni haya kuongozana naww au kusimama naww mahali , wanakua namoyo wakukusaidia mahitaji yako mpaka mwisho.

Wanashindwaga kunijua nashugulika nann.mwingine atakuambia unafanya kazi bank gan? Au we ni mwanasheria?? Wee ninan kaka.. Nanamba za simu juu

Kuuuuuuumbe ni mchunga ng'ombe mmoja tu.
Embu njoo inbox muheshimiwa kuna jambo nataka kukushirikisha.
 
sasa muda wote huo kumbe ulkuwa na simu kumpgia huyo jamaa wako o ultaka kuwasumbua binti za watu
 
Back
Top Bottom