Mockingbird
JF-Expert Member
- Jan 11, 2018
- 434
- 1,043
Habarii wakuu,
Hakuna kitu kinachoudhi na kuumiza moyo kama unamfatilia msichana/mwanamke hafu anakusumbua kwa visababu vya hovyo. Au anakuzungusha tu eti kukupima imani.
Enyi binaadam wenzangu wenye jinsia ya kike kumtambua mwanaume aliye serious na wewe ni rahisi mno.
Mfano mimi nikiwa deeply in love with someone wakati namueleza hisia zangu mwili hua unanitetemeka kabisa, mapigo ya moyo yanenda mbio.
Mtu anayekupenda kweli mwangalie machoni utamjua kama huyu anakupenda au anatania. Shida inakuja mwanaume anaeleza hisia zake hivyo lakini bado mwanamke anamkazia, mimi hua nafanya seduction mara tatu tuu akikataa basi naona kweli huyu hanitaki. Naamua kublock kila kitu kumuhusu yeye ili nisijipe stress.
Mwanaume mwenzangu wewe hua unafanyaje?
Life is nothing without Love, nothing is Simpler.