Babuu blessed
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 1,362
- 491
Habari wana jukwaa,leo nimefungulia redio sibuka nipo zangu narudi maskani natokea kibaruani. Nasikia tangazo la idara ya afya simiyu linatangaza tohara kwa vijana wadogo na watu wazima above 18 .
Nimejiuliza sana ina maana maeneo hayo kutahiri ni jambo la kigen sana hadi kuhamasishana kupitia vituo vya radio au bado watu wa maeneo hayo wapo nyuma sana kwenye swala la afya zao na mambo mengine ya kiafya....
Jambo nililowaza ikifanyika sensa unaweza kuta watu wa ukanda uwo wanaongoza kutahiri wanawake alafu wanaume wanabaki na filimbi zao. Nipende kutoa ushauri kama wewe umebahatika kuelimika mapema kabla ya ndugu zako jitahidi kile ulichopata kiwanufaishe jamaa waliobaki vijijin aipendezi kabisa watu wa kanda ya ziwa wapo wengi kwenye miji mbalimbali hapa tanzania alafu hadi leo bado nduguzako waliopo kijiji bado awajui umuhimu wa kutahiriwa.
Serikali inatakiwa ipambane na maleria,HIV,Tb,kisukari na magonjwa mengine sio wataalam wanaangaika kukata magovi ya watu wazima mengine yashaota sugu kabisa... ukifika kijijin wakumbushe ndugu zako kutahiri watoto wakiwa bado wadogo