Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,939
Wakuu,
Kwa kipindi kirefu sana nimekuwa nikiona wingi wa dada zetu kujichora Tatoo, kuongezeka kwa usagaji, kuongezeka kwa wadada wadogo kuwa kwenye mahusiano ya kingono na wazee wakubwa kuliko umri wao.
Katika utafiti wangu nimegundua kuwa wote wanaojiingiza kwenye hayo makadhania ni waliokulia kwenye familia ambayo ina mzazi mmoja wa Kike tu.
Na hayo yamekuwa kutokana na kujifunza yale ambayo mama yake amekuwa akiyafanya mbele ya mtoto ili kujikimu kimaisha.
Hivi single mothers hamuoni maamuzi yenu yanapelekea kuwa na jamii inayopelekea mafunzo ambayo ni adha kwa jamii ya kesho?
Nawasilisha lijadiliwe