Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 812
Za muda huu wana JF,
Msimamo wangu katika maisha niliapa sitathubutu kuoa au kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke aliyezalishwa au anayefanya kazi bar. Sababu na msimamo ni za kwangu na wengi walilifahamu hilo.
Cha ajabu ninavyoandika hapa nimeoa mwanamke aliyezalishwa watoto wa 3 tena na baba tofauti tofauti na hapa amenipa ushauri anataka nimfungulie bar ili tuendelee kuingiza kipato.
NAOMBA USHAURI