masinde81
Member
- Sep 23, 2016
- 64
- 53
Nina miaka mitatu (3) sija sex, hata hivyo nina mashine ndongo, hivyo nakuwa naogopa niki sex na msichana naweza nisimriidhishe, nifanyaje wadau maana umri unaenda na natamani sana kuwa na GF ila shida ndio hiyo.
Naomba ushauri wenu tafadhari [emoji20] [emoji20] [emoji20]
Naomba ushauri wenu tafadhari [emoji20] [emoji20] [emoji20]