Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Starehe ni jambo la kuuburudisha mwili/mwili kujisikia burudani.. nje na kunywa vilevi,tendo la ndoa,kula,kunywa n.k kuna jambo moja limesahaulika ambalo ndio msingi mkuu wa starehe zote mtu...
18 Reactions
48 Replies
17K Views
jana nimekutana na jamaa yangu wa muda mrefu sana shabani huyu tuliwah kukaa naye kinondoni. jamaa kwenye kupiga piga stories akanikumbusha stories moja iliyomfanya ahame haraka sana kinondoni...
12 Reactions
55 Replies
8K Views
Samson alikuwa jirani yangu, tulisali kanisa moja. Wakati huo Nikiwa form one Samson alalishamaliza form six. Alikosa nafasi ya kujiunga na chuo hivyo ndugu zake walimsaidia kupata ajira Benk...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari wana jf natafuta marafiki wakubadilishana mwazo jinsia zote. Mimi ni mwanaume naishi dar umri wangu ni miaka 32 Kwa anayetaka aje pm
0 Reactions
57 Replies
4K Views
Ndugu wadau, baada ya kuona na kushiriki mijadala mingi, nimeonelea nitoe mchango wangu ili ndugu, dada, binti na wajukuu zetu waweze kuelewa tunavyomfahamu mwanamume wa kweli (A real man) tena...
36 Reactions
522 Replies
50K Views
Habar wakuu kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu nina dukuduku langu moyon kuhusu hawa warembo wa chuo ni watu ambao hawafai kabisa kuanzisha nao uhusiano ambao uko seriously na...
6 Reactions
82 Replies
14K Views
Hello guys Kuna mdada mmoja nlimtongoza halafu akaonesha kunikubali, like ananipigia simu, anani-text, she is sweet and charming etc..isipokuwa tu kila nikimwita aje gheto, au nikimwomba ni-spend...
11 Reactions
184 Replies
13K Views
Na wewe unaetafuta njoo huku, unaweza kubatika 1. Ukitaka kuvaa shera mimi ntakuvalisha. 2. Kama unataka kuolewa, ntamuacha wife ntakuoa wewe 3. 3. Au unataka kuwa mke wa
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wenyewe wanasema Ajari kazini hayo yalinitokeaga kwa demu flani hivi japo siyo wa kishua sana ila kwao mambo safi. Demu alikuwa bonge lakini siyo kama wale mabonge waliokosa ushirikiano wa shepu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Unakuta mdada anajiita cute Lily, Pretty Ney nk. Sasa kwa kweli huwa nashangaa nani huwa anawabatiza haya majina? Au mnakuwa mmejiangalia kwenye kioo wee alafu ndio unagundua kuwa wewe ni cute...
2 Reactions
43 Replies
5K Views
Nimekutana na website "e-stealth.com". Among other matters, it touts itself to having a product (software) called "bluetooth mobile phone spy package". Inaelezewa kuwa unaweza kuitumia kisikiliza...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Naam in muda muafaka umewadia kaa tayari kushuhudia. Kuna michezo aina nyingi ya kucheza ila huu ni mchezo wa kipikee, Haufanani na ule wa kombolela utotoni, wala wowote ule ulio upitia utotoni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Fuatilia maelekezo yafuatayo. Vifaa vinavyotakiwa 1. Wembe mpya 2. Chombo kisafi. 3. Ndimu/limao moja 4. Kipande cha godoro jipya chenye ukubwa wa 4cm x 4cm x4cm. Maandalizi na matumizi. 1...
1 Reactions
66 Replies
22K Views
Habari zenu wanajamvi. Kama thread tittle inavyoeleza Mimi ni kijana miaka 27 Sijawahi kuchoka linapokuja swala la kufanya mapenzi na mpenzi wangu. Unaweza kukuta mimi ndio niko natafuta round ya...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Heshima kwenu washikadau Naomba kujuzwa kama kuna madhara kufanya mapenzi kutwa nzima mana leo nimeshinda namdinya mtu kutwa nzima. Ilikua kila nikijiskia tu napanda kifuani nampa dozi...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Chanzo cha wanaume kwenda kuposa na kutoa mahari miaka nenda miaka rudi ni kudhani kuwa wakati wa tendo la ndoa mwanaume anafuraha zaidi ya mwanamke. Loooh kumbe sio hivyo bwana! Wanawake ndo...
10 Reactions
146 Replies
13K Views
Habari zenu wanajamvi. Kama thread tittle inavyoeleza Mimi ni kijana miaka 27 Sijawahi kuchoka linapokuja swala la kufanya mapenzi na mpenzi wangu. Unaweza kukuta mimi ndio niko natafuta round ya...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Jamani mwenzenu kuna dada nilimuelewa sana,nikafanya jitihada za kumtia nguvuni tukawa hatufikii muafaka kama atakuwa na mimi ama haiwezekani niende zangu nikafie mbele. Akawa anaonyesha nae...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Jamani, hivi sasa kuna tatizo kubwa sana la kijamii ambapo wanawake wengi waliofikia umri wa kuolewa, bado hawajaolewa. Leo nilikuwa kwenye tawi moja la benki fulani basi nikawa naangalia idadi...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…