Mobile phones and your relationship | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mobile phones and your relationship

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Misterdennis, Jul 30, 2008.

 1. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2008
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Nimekutana na website "e-stealth.com". Among other matters, it touts itself to having a product (software) called "bluetooth mobile phone spy package".
  Inaelezewa kuwa unaweza kuitumia kisikiliza maongezi ya cell phone yoyote ambayo umeitarget

  Kwa wataalamu wa mambo ya IT, tafadhali kama waweza kupita huko na unijulishe kama kweli hii kitu ni kweli na inaweza kufanya kazi kama wanavyodai
   
 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  Jul 30, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Thanks Misterdennis,

  This' good to have a look onto some stuffs that might consume your cash if not having enough info over it.

  e-stealth.com are nothing but eye-catchers and are in the market to get your monies easily.

  See some of the complaints below.

  Peter from Singapore writes:-

  Furthermore, someone from Nevada writes:

  So buddy, do not be fooled by e-stealth.com! It's good that you've brought this to us for help and I believe you'll dig out and see.

  Regards,

  Invisible
   
 3. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2008
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Invisible .... thanks so much pal for your response and advice!
  Mwee .. watu kwa trick za kuibia watu pesa .. Lo !
   
 4. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #4
  Jul 30, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Great,

  You did a good thing to consult others before entering into business with these suckers.

  Pole sana, you wont spy your wife :)
   
 5. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2008
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Yee buddy .. but not wifey !
  there is is this young lady who thinks I should marry her ... lakini sina uhakika sana na nyendo zake ... !!
   
 6. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #6
  Jul 30, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Spying on her will take away you from her. Never spy a woman, if you love her tenderly, just trust her...

  MUHIMU:

  Pata muda wa kukaa naye, ongea naye, elewa mwenendo wake wa maisha, kuwa muwazi kwake, mwachie handset yako na pia ruhusu yeye aweze kusoma sms zako ikiwa ni pamoja na incoming na outgoing calls zako ili nae aweze kukuruhusu kufanya vile.

  Kumpeleleza kutakupeleka pabaya na hutopata mwanamke YEYOTE asiyeolewa ambaye utakuta hafukuziwi na wengine. Ukimhakikishia kuwa wewe ni wake basi hatohangaika kabisa, wenzetu wakishapenda huwa wanapenda kwa dhati. Urahisi ni wewe kuwa muwazi kwake ili awe muwazi kwako. Usimfiche juu ya background yako ili naye aweze kutokuficha.

  Hakikisha unawaaga wote ambao uliwahi kuwa nao katika mlolongo wa maisha ya mapenzi na wambie sasa unamilikiwa. Haina haja ya kuwambia unamilikiwa na nani. Wape heshima zao ili wasije kuharibia heshima yako kwa mwenzi wako.

  Kuwa mkweli na ulikotoka!

  Mfano: Mimi Invisible, mpenzi wako nakupenda sana dear, natambua kuwa nawe wanipenda. Lakini sitaki mambo yaendelee hivi kwani mimi ni mtu mzima sasa. Napenda kuwa muwazi kwako mpenzi, ukweli ni kuwa nilikuwa kicheche kikwelikweli na sasa nimetulia baada ya kukupata wewe. Naridhika kabisa na wewe na wala nisingependa kuhangaika tena. Niko tayari twende kupima afya zetu na ningependa twende hatua nyingine mbele zaidi. Nakuruhusu kwakuwa nakupenda uwe unatumia simu yangu wakati wowote na kwa shughuli yoyote (hapa ukumbuke juu ya nililokwambia awali kuwa lazima uwape heshima waliowahi kuwa wapenzi wako awali ili wasijeharibu).

  Then mwambie ukweli kuwa unatambua kuwa hata kama hawezi kukwambia kila kitu ni kweli aliwahi kuwa na wanaume awali na unatambua wanaweza kuendelea kumzengea. Mwambie athari za kuendelea kuwa na mawasiliano naye ikiwa ni pamoja na kumwambia hatari ya ninyi kuangamia kwa maradhi yasiyotibika. Mwambie kuwa maisha ni matamu zaidi mkiwa pamoja na akijichanganya atambue atakuwa na dhambi ya uasherati pamoja na kukuua. Mwambie kuwa mko kwenye kipindi cha mpito ambacho unahitaji kumjua zaidi ili upate maamuzi juu ya maisha yenu ya baadaye. Mengine unaweza kuongezea mwenyewe.

  Kisha mwombe afanye kuwaaga wale aliokuwa nao awali na mwambie dhamira yako ya kutaka kuwa wawazi kwa kila mmoja wenu. Hilo linaweza kukusaidia sana kwani naye atafanya kuwaaga wale waliokuwa wakimfanya asitulie na kisha utaona taratibu anaanza kuwa mwaminifu kwako. Hapo ruksa kuanza kumjua taratibu kuliko kutumia njia za software kumfuatilia kwani hakuna binadamu aliye mkamilifu. Hata wewe una mapungufu na akiyashtukia anaweza kupiga mayowe!

  Nakuombea ufanisi.

  BTW: Hii kumbe ni hoja inayotakiwa kuwekwa kwenye jukwaa na Mahusiano na Mapenzi, naihamisha!
   
 7. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Very nice article Invisible, I read it all.
  I hope it will solve Misterdennis's small problem.


  [​IMG]
  .
   
 8. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #8
  Jul 30, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  And it's my hope that others wont spy over their beloved ones :p
   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...ayeee!!! clap, clap, clap!!!

  ... :D this reminds me of a fella who wanted to check fingerprints on her wifey's body when she comes home! ...he he

  mambo ya "bila wivu utajuaje kama kweli nakupenda" sio? ha ha...
   
 10. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mhh Invisible kumbe uko sawa kila mahali haya mambo ya kuanza kutafutana kwa software.Wahenga hawakukosea waliposema ukitaka kula bata usiangalie alichokula.

  Ingekuwa ni kutafutana namna hiyo..basi hakuna mtu angekuwa na mke saa hii..watu wamepita kwingi mpaka kuamua kuoa.So ukifatilia unaweza mpoteza bibie au baba...

  Nimepata kitu hapo...kuwa unawaaga wote..waliokuwa wapenzi wako...ha ha ha watu hawaagi jamani utasikia tu flani kaolewa from the blue..

  Stay online.
   
 11. Lasthope

  Lasthope Senior Member

  #11
  Jul 30, 2008
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 149
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Why not admit you are the one who wants to marry her? Men pls be frank sometimes, why make it look like its only women who need marriage while you also do?
  To be honest i think you need her more than she needs you coz you are the one who wants to spy on her which means you are insecure.
   
 12. Lasthope

  Lasthope Senior Member

  #12
  Jul 30, 2008
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 149
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Robot hapa pia nimekukubali, unatisha kila idara. I agree in everything you have said there is no need of spying on your partner. Remember the truth shall set you free. naomba hiyo iwe kitchen party ya gentlemen.
   
 13. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #13
  Jul 30, 2008
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Most of us are used to the mobile phone being part of your daily life; it’s just another tool that you use so often it’s practically invisible to you. But that tool just might be a ticking time bomb ready to blow up your relationship from the inside out. Every day, partnerships are ruined as a result of something that has occurred in relation to the cell phone. Has this happened to you or anyone you know?

  Text messages, secretive phone calls, suspicious numbers are all warning signs to your significant other that something significant has been going on with someone else. (And it’s no fun being on the flip side either, when a phone is giving you clear signs that your partner is cheating and you have to decide whether or not to bury your head in the sand.) If you’re the guilty party, you might want to check out how to not getting caught in the act by your phone.Listen to some advice from a phone company:-

  ...............................................


  Here is how you can avoid problems.This advice is not being given because we support any frivolous philandering - we’re doing it because we’re on the phone’s side, and don’t want you to blame your electronic accomplice when your titillating trysts blow up in your face.

  1. Don’t save their number.
  This might sound like the most redundant advice since Zookeeper training lesson #1, “Don’t stick your head in anythings mouth if you can possibly avoid it”, but there’s a simple fact: people are dumb. For every unfaithful partner caught through crazy coincidences or private detectives, there are a hundred hoisted on the petard of their own dumbassery. Besides, if you can’t remember a single phone number then just give up now - you’ll never remember the tapestry of lies you’ll eventually have going. Don’t save the number, don’t write it down, and don’t set it to play “Don’t you wish your girlfriend was hot like me”/”Like I Love You” when she/he calls. It’ll seem a lot less funny when you’re dodging heavy objects.

  2. Delete all records
  Those saved texts might make you feel super smooth - and it’s always fun to read over past triumphs - but unless you’re going out with a cryptologist and can sight read hex-codes, delete every single one! The funny thing about stuff that’s written down is that anybody can read it. For example, that other person who hangs around your house a lot and seems generally interested in where you keep running off to.

  3. Don’t get a second phone.
  Be honest: the sheer sexiness of the new models tempts you to get a new one - in fact, that’s kind of what happened in your relationship. A new phone avoids all the above problems, right? Wrong. An entire new phone rolls all the risk into a single shiny and easily discoverable package. Please note that when even a leading mobile phone site cautions you against buying another phone, that must mean it’s a biblically bad idea.

  4. Be cautious of the camera!
  There’s nothing so cute, after an evening of drink and fun, to snap a quick picture and laugh as you do so. And there’s nothing so horrifying as plugging your phone into the computer, and that damn autolaunching photobrowser you never bothered to disable vomits multi-megapixel evidence of your infidelity all over your screen, no matter how desperately you hammer the red X in the corner.

  5. Don’t baby your phone
  When you’re expecting an important call, you start to baby your phone - coddling it closely and never letting it out of your sight. When you’re aware that any call might be from someone your partner really shouldn’t talk to, that’s all the time. It may astonish you, but this behaviour is actually visible to other human beings. And when asked who you’re expecting, your damn-fool response of “Oh, nobody” will leave you looking more suspicious than a cat in a pile of feathers next to an empty birdcage.

  FOOD FOR THOUGHT!
   
 14. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #14
  Jul 30, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  WOS .. Kuna siku utajisahau kiduchu tu ... basi libalaa litabumburuka hilo hapo ... bora umweleze tu mwenzako kwamba huyu ni rafiki yangu na kama anawasiwasi naye ... unawakutanisha halafu unafanya introduction ... thats if one is completely innocent yani hacheat on the other ... lakini kama ni kinyume then ... sijui mtu utaficha mpaka lini maana lazima utagundulika ... maybe then achukuwe hizo precautions hapo juu
   
 15. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2008
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  binadamu mmezidi nanyi, mchongoma mpaka na fingerprints.... aisee hapo basi ataachwa kila mtu .....lahaula...
   
Loading...