Kiukweli nimewamiss sana jf na watu wake..

We miss you too boy! Hopefully its all gud.

Honestly, wewe ndie ulisisitiza niandike juu ya Michelangelo.. Na nimefanya hivyo.

Msome hapa Michelangelo; Genius aliemchallenge vikali Leonardo Da Vinci kwenye kazi za Sanaa

IMG_20180707_221115_780.JPG
 
Vinci za masiku?, baada ya JF kupotea hali ikawa mbaya sana!.. Hakuna kujadiliana mada mpto na watu kwa uwazi zaidi!.. Nilimiss mada zako sana mate!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom