Hii ndio starehe ya kwanza duniani

Hii ndio starehe ya kwanza duniani

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,634
Reaction score
89,398
Starehe ni jambo la kuuburudisha mwili/mwili kujisikia burudani.. nje na kunywa vilevi,tendo la ndoa,kula,kunywa n.k
kuna jambo moja limesahaulika ambalo ndio msingi mkuu wa starehe zote mtu azifanyazo nalo ni kuwa na AFYA NJEMA.

Mtu asikudanganye hakuna starehe kama kujisikia na afya njema,utulivu wa mwili..
huo ndio msingi wa starehe,ni raha iliyoje kumuona umpendae ni buheri wa afya au wewe mwenyewe kujisikia ni buheri wa afya..?

Pesa ni kibwagizo cha starehe tu lkn ukweli ni unaweza kuwanazo na usijisikie raha ya maisha!,nachopenda kuwahasa watanzania wenzangu tuhakikishe afya zetu zinakuwa njema kwa manufaa ya kwetu na wale tuwapendao..
 
Mpira ndyo starehe deadly sana, unaweza ukawa unaumwa afya yako haiko sawa lakni unaweza jikuta unaruka ruka kwa furaha, kama mim jana kichwa ilikuwa inagonga vibaya ila baada ya brazil kufungwa niliruka hatari.
 
Afya ni asset ambayo wengi huipata bure wanapozaliwa. Ni pale unapolikwaa NGWASUMA ndipo unapojuta kwanini hukuilinda ile asset bora kuliko zote.

Ukipata ajali uvunjike mguu hakuna utakaolingana na ule uliozaliwa nao.
 
Starehe ni jambo la kuuburudisha mwili/mwili kujisikia burudani.. nje na kunywa vilevi,tendo la ndoa,kula,kunywa n.k
kuna jambo moja limesahaulika ambalo ndio msingi mkuu wa starehe zote mtu azifanyazo nalo ni kuwa na AFYA NJEMA.

Mtu asikudanganye hakuna starehe kama kujisikia na afya njema,utulivu wa mwili..
huo ndio msingi wa starehe,ni raha iliyoje kumuona umpendae ni buheri wa afya au wewe mwenyewe kujisikia ni buheri wa afya..?

Pesa ni kibwagizo cha starehe tu lkn ukweli ni unaweza kuwanazo na usijisikie raha ya maisha!,nachopenda kuwahasa watanzania wenzangu tuhakikishe afya zetu zinakuwa njema kwa manufaa ya kwetu na wale tuwapendao..
Aliyekwishasumbuliwa na afya yake tu ndiye atakuelewa ila wenye afya njema constant wanaona kawaida tu. Kwao hakuna jipya hapa!!
 
Mimi sijaona raha ingine kizidi papuchi hapa duniani
 
Mpira ndyo starehe deadly sana, unaweza ukawa unaumwa afya yako haiko sawa lakni unaweza jikuta unaruka ruka kwa furaha, kama mim jana kichwa ilikuwa inagonga vibaya ila baada ya brazil kufungwa niliruka hatari.

Hahaha Neymar kafungashwa virago. Ila walipiga mwingi second half.
 
Back
Top Bottom