Siku demu Bonge Alivyozima Gheto.

Siku demu Bonge Alivyozima Gheto.

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Wenyewe wanasema Ajari kazini hayo yalinitokeaga kwa demu flani hivi japo siyo wa kishua sana ila kwao mambo safi.

Demu alikuwa bonge lakini siyo kama wale mabonge waliokosa ushirikiano wa shepu zao namaanisha wale wenye mwili kama wa simba dume juu mnene alafu kushuka chini shepu ya kichaga hapana.

Demu alikuwa demu mnene kiasi,kajaliwa wowowo,hipsi sasa ndio usiseme basi siku ya kwanza kumuona hakuwa na hiyana sana akanipa contact na maongezi mengine yakaendelea,

Kadili Siku zilivyozidi kwenda ndivyo mazoea yalivyozidi kuendelea mwisho wa siku tulijikuta tu tupo kwenye mahusiano.

Basi bwana kama mnavyojua mkisha kuwa wapenzi kuna kutembeleana na kufanya mambo mengine mengi tu ya kimahusiano.

Basi siku ndio hivyo kuja gheto mtoto wa kike kajipara haswa mi mwenzake hoi sikuwa nasubira nikamvuta kitandani na kuanza kumpapasa,nikamfanyia vimchezo mchezo vya kimapenzi na kuanza kupiga game .

Nikapiga Round ya kwanza mtoto nikaona Anahema juu juu tu sikupaki basi nikaunga ya pili huku namgeuza kila style kitu ambacho sikukijua ni kwamba kumbe mademu mabonge wengi wanachoka mapema sana mi nilishazoea mademu zangu vimbau mbau show mpaka kukuche.

Basi bwana mtoto akawa analalamika huku analia mi nikajua ndio mahaba yenyewe hayo nikawa nazidisha moto tu kupiga show ikafika wakati nikaona kimya kumbe mtoto wa watu kazima ilinibidi nishuke kifuani nimcheki.


[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] te_te_te kumbe mtoto wa juzi kumgeuza anageuka kumcheki puani anahema kwa mbalii ,kusikilizia mapigo ya moyo yako fresh yanadunda nikajisemea lahaula nisije nikaua mtoto wa watu.

Ilinibidi sasa nianze huduma ya kwanza kumpepea pepea mwisho wa siku kushituka eti Anauliza ni nini kimetokea nilichomjibu ni kwamba vaa nguo ujiandae nikusindikize kwenu .

.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Rudia kusoma ulichoandika..kisha jitathimin kuwa sehem sahihi unayopaswa kuwepo ni milembe..rubbish!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom