Mwanamke afungasha baada ya mume kukaa kimya

Ketoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,121
Reaction score
1,983
Ni tukio lililotokea muda huu hapa mtaani kwangu

Mwanaume alikuwa amesafiri,karudi usiku huu kwake bahati mbaya kabla ya kubisha hodi,akakuta dirisha la chumbani kwake lipo wazi
Akaenda pale dirishani ili alifunge ili mbu wasiingie ndani
Ghafla amekuta mechi inaendelea
Akawambia akiwa pale dirishani " malizeni basi mnipe nafasi nami nimekuja nipumzike"

Kilichofuata ni mwanaume kuvaa fasta,wala jamaa hakutaka afanye fujo,baada ya jamaa kuingia ndani kamkuta mke wake analia
Akamwambia wala usilie
Jamaa akaenda kuoga,kisha akarudi kulala

Mwanamke amekaa sebuleni,baadae ametoweka kusikojulikana

Ila wanaume mnatafutaga kifo wenyewe
Hivi inaingia akilini kwenda kulala kitanda cha mwanaume mwenzio,hamuogopi kufa?
 
Ukimya kwa mwanamke ndio adhabu tosha .

Ingawa nikm kastori ila amefanya jambo zuri.
Ni kweli mkuu sio stori,jamaa ndo anatoka kunieleza nikasema ,ni wachache sana wa kuvumilia bila fujo,angekuwa mtu mwenye roho ngumu sasa hivi tungekuwa tunaongea mambo mengine hapa mtaani
 
mshukuru sana uyo mume wako amewaacha mpo hai mwngne angemuua mtu
Hakika yaani ingekuwa ndo Mimi,sasa hivi ningekuwa nimeenda polisi kuwambia nendeni mchukue mizoga pale kwangu
 
Ni tukio lililotokea muda huu hapa mtaani kwangu

Mwanaume alikuwa amesafiri,karudi usiku huu kwake bahati mbaya kabla ya kubisha hodi,akakuta dirisha la chumbani kwake lipo wazi
Akaenda pale dirishani ili alifunge ili mbu wasiingie ndani
Ghafla amekuta mechi inaendelea
Akawambia akiwa pale dirishani " malizeni basi mnipe nafasi nami nimekuja nipumzike"

Kilichofuata ni mwanaume kuvaa fasta,wala jamaa hakutaka afanye fujo,baada ya jamaa kuingia ndani kamkuta mke wake analia
Akamwambia wala usilie
Jamaa akaenda kuoga,kisha akarudi kulala

Mwanamke amekaa sebuleni,baadae ametoweka kusikojulikana

Ila wanaume mnatafutaga kifo wenyewe
Hivi inaingia akilini kwenda kulala kitanda cha mwanaume mwenzio,hamuogopi kufa?

Itaendelea.......

Lini??
 
Mwanamke kaogopa kunyongwa. 😀😀😀😀😀😀🙄
 
Back
Top Bottom