Walimu wa mazoezi kero katika mahusiano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walimu wa mazoezi kero katika mahusiano

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Gagurito, Sep 15, 2011.

1. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#1
Sep 15, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135
Kifupi huwa sipendi kuzungumzia tetesi ama maisha ya watu directly. Lakini kwa hili, kwa leo naomba mnisamehe kwa haya nilitakayoyasema.
Leo hapa mtaani kwetu majira ya jioni kumetokea timbwili kubwa pasipo mfano, ilikuwa ni tetesi bt leo kwa macho yetu tumeshudia wenyewe. Je mnataka kujua ilikuaje?
Hapa jiran kuna Gym centre ambayo imekua ikihudhuriwa na wateja mara kwa mara nyakati za jioni (baada ya muda wa kazi kwa siku za kuanzia j3-ijumaa) na zaid siku za wikiend, kimsingi gym hii ipo ktk mazingira mazuri then huduma yake si haba, wafanyakazi wake ni wakarimu pia imesheheni walimu wazuri wenye kujua nin walifanyalo pindi wawahudumiapo wateja wao.
Kumekuwapo na tetesi kuwa mmoja wa walimu hao amekuwa akijihusisha/mahusiano ya kimapenzi na wateja wa kike mara kwa mara na tofauti muda tu wanapojiunga na kituo hicho, kwa kuwa wengi ya wateja wajao hapa wametokea/wapo safi kiuchumi hii imemfanya mwalimu huyu kuchukulia mahusiano haya km kitega uchumi, amekuwa akitembea na wake wa watu na kutumia vitu vyao km vile magari pasipo aibu wala uwoga wowote!
Kama waswahili wasemavyo siku ya mwizi ni arobaini, kumbuka hakuna siri ktk mapenzi, waswahili wamemfikishia bwana juu ya matendo ya mkewe na huyo mwalimu wa mazoezi, wamempa ratiba na mchakato mzima ile mwanzo mwisho, mke kama kawaida kaaga anaenda zoezi, mume pasipo onyesha mshituko wala wasiwasi kamkubalia, kaenda gym. Mke katangulia, baada ya muda bwana kamfuata kwa nyuma, kafika gym hamwoni pale pa siku zote, kwa kuwa si mgeni kaingia vyumba vya ndani vya kuchangea nguo napo kamkosa, kaamua kwenda bafuni, kahamaki kumkuta mke na mwalimu wa mazoezi wakifanya mambo, bwana kumbuka kajiandaa vya kutosha, kakasirika kawatoa nje km walivyo zaliwa, kawapakia kwenye gari kawapeleka kituoni. Huku nyuma kaacha gumzo. KILICHONIFANYA HASWA NILETE thread hii humu tofauti na kutoa habari ni pamoja na kutaka kuwaonyesha ni kwa kiasi gani hawa walimu wa mazoezi walivyokua mwiba katika mahusiano ya mapendanao, sijui ni kwa nini haswa bt hawa watu ni hatari, nadhani kuna kilasababu ya kuwakemea na kuchunga wapenzi zetu.K WA WALE mnaofahamu na mlio na ukaribu na hawa watu JE MWAWEZA KUTUGUSIA MBINU WATUMIAZO WATU HAWA KUDAKA WAKE/WACHUMBA/WAPENZI AU DADA ZA WATU? Nijuavyo mimi ni kuwa hawa WALIMU WA MAZOEZI NI JANGA LA KUEPUKA KATIKA MAHUSIANO, NI HATARI SANA, TUWATAFUTIE DAWA!

2. Vin Diesel

Vin Diesel JF Gold Member

#2
Sep 15, 2011
Joined: Mar 1, 2011
Messages: 8,402
Likes Received: 737
Trophy Points: 280
Hii nayo kali...ngoja nipumzike nitarudi asubuhi baada ya zoezi.

3. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#3
Sep 16, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135

Usije ukathubutu kumwamini mwalimu wa mazoezi kwa mwenza wako!

4. R

Rapture Man JF-Expert Member

#4
Sep 16, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 411
Likes Received: 26
Trophy Points: 45
Ni kwamba wadada na wamama wanapenda mijitu iliyo fit ki-mazoezi, mijitu ya miraba mi4? Kama ndiyo basi sie wa vifua vya njiwa kazi tunayo. Itabidi nijiunge gym nitanue kifua.

5. Mr Rocky

Mr Rocky JF-Expert Member

#5
Sep 16, 2011
Joined: Oct 10, 2007
Messages: 15,186
Likes Received: 567
Trophy Points: 280
haya ni yale yale ya massage parlour, salon za kike na za kiume
Yaani swala sio walimu wa mazoezi wala wanawake wa salon na waume za watu wala wa salon za kiume na wake za watu
Swala ni kuwa uaminifu kweney ndoa hakuna
Mtu anaende gym kwa ajili ya kufanya mazoezi badala ya kwenda kufanya kile ambacho anatakiwa kufanya anaenda kufanya ngono na mwalimu wa gym au mtengeneza nywele na kucha
Tuache kusingizia watu au walimu ni kila mmoja afanye na atimize wajibu wake
hakuna maana ya kumlaumu mtu wakati wewe mwenyewe umejilengesha kumtamanisha yule mtu afanye mapenzi na wewe
Maana hakuna mtu aliyemfuata huyo mama nyumbani kwake kuwa twende gym ni yeye mwenyewe alienda na ni yeye alitongozwa na ni yeye aliyekubali kufanya mapenzi na mwalimu wake

6. NGULI

NGULI JF-Expert Member

#6
Sep 16, 2011
Joined: Mar 31, 2008
Messages: 4,812
Likes Received: 31
Trophy Points: 135
Naomba ni declare interest kwanza mm ni mwl wa mazoeizi.

Mleta mada umekosea ku tujumlisha wote kwenye kundi la wahuni. Sio walimu wote wana tabia mbaya.

Kwa dsm walimu wengi wa gym sio professionals walikuwa wafagiaji then wakajifunza basics za mazoezi na sasa wanafundisha watu thru experience na sio knowledge. Kwa hio basi mshahara wao kwa mwezi ni elfu 50-100000 na wana wategemezi na majukumu mengi so haitoshi.

Ikitokea mwanamke anajirahisisha basi mtu anakuwa anachulia hio opportunity na anafanya kweli.

Tahadhari ni kuwa magonjwa ni nje!nje kwa vile watu wakiigua ndio wanakimbilia gym. Wa TZ wengi hawana tamaduni za mazoezi.

7. U

Ulimakafu JF-Expert Member

#7
Sep 16, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 17,991
Likes Received: 733
Trophy Points: 280
Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.

8. Dena Amsi

Dena Amsi R I P

#8
Sep 16, 2011
Joined: Aug 17, 2010
Messages: 13,137
Likes Received: 254
Trophy Points: 160
Sitii neno nitaharibu umenimalizia maneno yooote niliyotaka kusema

9. daughter

daughter JF-Expert Member

#9
Sep 16, 2011
Joined: Jun 22, 2009
Messages: 1,274
Likes Received: 18
Trophy Points: 135
Simlaumu mwalimu kwenye hii kesi hata kidogo. Ni kukosa uaminifu tu.

10. SMU

SMU JF-Expert Member

#10
Sep 16, 2011
Joined: Feb 14, 2008
Messages: 7,918
Likes Received: 2,068
Trophy Points: 280
Si mazoezi ya 'viungo' ama? Labda mkubaliane na mkeo/mumeo scope ya viungo vya kufanyisha mazoezi...Lol!!!

11. Ndechumia

Ndechumia JF-Expert Member

#11
Sep 16, 2011
Joined: Jul 15, 2011
Messages: 1,015
Likes Received: 19
Trophy Points: 135
Unajua km mtu aliwah kuangalia picha chafu atagundua kuwa watu wenye vifua vikubwa(watu wamazoez) wanaonekana kuhimili game, so dada zetu/mama zetu wanapoona mtu wa dizain ile wanafikiri kuwa wako fit vilevile, kumbe wap.kwa hiyo km mume/ mpenzi wake ndo hiv yo tena kifua ka cha njiwa anaona atest cha jamaa kumbe!!!!

12. OTIS

OTIS JF-Expert Member

#12
Sep 16, 2011
Joined: Sep 7, 2011
Messages: 2,144
Likes Received: 9
Trophy Points: 135
Dah,inauma sana kuchapiwa mkeo.

13. harakat

harakat JF-Expert Member

#13
Sep 16, 2011
Joined: Jul 4, 2011
Messages: 2,908
Likes Received: 761
Trophy Points: 280
Hilo sio kosa la mwalimu wa mazoezi kwani mke wa mtu anapaswa kujitambua na kujiheshimu.Kumbuka ana mkataba na mumewe sasa huyu jamaa mwingine yeye hana mkataba na mtu yeye alichofanya ni kusaidia tu shughuli ile .
Binadamu anatabia ya kutaka kujaribu vitu vipya na mchanganyiko sasa ndio maana hata kwenye sherehe huwa na bufee.Huyo mama inaelekea alikosa bufee ya wanaume wakati wa umri wake na ndio maana anaharibu ndoa

14. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#14
Sep 16, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135

Kifua kinahusikaje ktk mapenzi kwani?!

15. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#15
Sep 16, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135

Kuwalaumu lazima kuwepo, hawa watu ni sehemu ya mkanganyiko ktk ndoa za watu pale wanaposhirikiana nao ktk mambo fulani. Wanachangia mifarakano na ugomvi ktk familia ama mahusiano fulani!

16. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#16
Sep 16, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135

Mkuu sijasema wote bt nimesema ni baadhi yao. Ila wengi wao wanatabia kama hizo, mbaya zaidi wamefikia hatua mbaya ya kujisahau! Kwa nyie msio na tabia hizo, endeleeni hivyo hvyo!

17. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#17
Sep 16, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135

Upo sawa kabisa but huu ulaji wao ni kero kwa wengine!

18. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#18
Sep 16, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135

Wale walimu huchezea viungo vyote vyote!

19. Vin Diesel

Vin Diesel JF Gold Member

#19
Sep 16, 2011
Joined: Mar 1, 2011
Messages: 8,402
Likes Received: 737
Trophy Points: 280
Inategemea na uaminifu wa mkeo pia mkuu...

20. Gagurito

Gagurito JF-Expert Member

#20
Sep 16, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 5,610
Likes Received: 25
Trophy Points: 135

Inakera sana mkubwa, kweli inauma!

Loading...