Mrejesho...Nimepata demu bikra

Nimempatia mtaani kwetu sio Jf...ana miaka 23yrs....maelezo mengi nimepunguza maana watu wasiojielewa wameanza kunitukana na kunipa majungu kisa tu nimebahatika kuwa na demu bikra....muandamne bac kama hamuani maana humu kuna mabingwa wa kupinga tu ..mnaboa
KWELI watu tunatofautiana ITIKADI.. mie demu BIKRA SIHITAJI KUMSIKIA KABISA.... wanakera vibaya mno
 
Nimempatia mtaani kwetu sio Jf...ana miaka 23yrs....maelezo mengi nimepunguza maana watu wasiojielewa wameanza kunitukana na kunipa majungu kisa tu nimebahatika kuwa na demu bikra....muandamne bac kama hamuani maana humu kuna mabingwa wa kupinga tu ..mnaboa
Mbona maelezo yako umeandika kama mtoto wa kike.
 
Nimempatia mtaani kwetu sio Jf...ana miaka 23yrs....maelezo mengi nimepunguza maana watu wasiojielewa wameanza kunitukana na kunipa majungu kisa tu nimebahatika kuwa na demu bikra....muandamne bac kama hamuani maana humu kuna mabingwa wa kupinga tu ..mnaboa[/QUOTE
Wewe mwenyewe ni bikra
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom