imepanda ghafla, kutoka 10000 mpaka 20000. ndio mizinga common jijini

Chifyono

JF-Expert Member
Oct 16, 2017
921
1,658
Wakuu

kiukweli hii hali imepanda ghafla na imekuwa common yaani kila simu ukipokea ya kuombwa pesa mara nyingi kutoka kwa wanawake na wanaume wachache hakika hujipangia kiwango na huitaji watumiwe 20000 kwa mpesa, tigo pesa nk

Hivi hawa viumbe huambizana na kujipangia bei ambayo iwe inatumiwa na asilimia kubwa miongoni mwao?

inamaana hawaioni 5000, 10000 ,12000 na 15000 yaani hadi waseme 20000 na ya kutolea?

sijui nani alianzisha na kueneza mzinga wa 20000. hii ni miongoni mwa sababu zinazoishusha pesa yetu thamani, kwani kunaifanya 20000 kuwa kama pesa ya vocha tu na kuitoa kama buku

mbadilike ninyi wapiga mizinga

cc wanawake wa Dar
 
Maisha yamepanda so na mahitaji ya hela lazima yapande au wewe unaona elfu tano ni hela sasa
 
Kidume Nishazisaka,Nishazipata, Naendelea kuzisaka,warembo wapenda Pesa/dolali huwa nawatafuna kisha nawatema kama bazoka.
 
Back
Top Bottom