Afumaniwa na mke wa rafikiye

Afumaniwa na mke wa rafikiye

None21

Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
34
Reaction score
16
Jamaa anaswa akila uroda kwenye kitanda cha swahib wake wakti mwenye mali kaaga kaenda kazini usiku, si unajua kazi za lindo tena!
Basi mme aliponasa tukio live, akawaomba waendelee na akawatayarishia chai na vitafunwa pamoja na maji ya moto ya kuoga. Kilichotokea baadae sijui maana sipendi umbeya.
 
Hahaha watu wana moyo aisee huyo mwanaume na dushe likadinda kabisa kwenye kitanda cha rafiki yake hivi sisi wanawake aliyeturoga kafa unampelekaje mwanaume kwenye nyumba yako halafu kingine mume yupo kaenda tu kazini
Ndo hivyo ukistaajabu ya Musa utakumbana na ya Fir'aun
 
Hahaha watu wana moyo aisee huyo mwanaume na dushe likadinda kabisa kwenye kitanda cha rafiki yake hivi sisi wanawake aliyeturoga kafa unampelekaje mwanaume kwenye nyumba yako halafu kingine mume yupo kaenda tu kazini
Huo ni moyo na nusu...maana moyo wa kawaida una haya. Wangechukuana wakafanye mbali
 
Huu wenyewe ulioandika n umbea
Umeshindwa tu kumalizia
 
Usiombe yakukute hayo,hapo ndipo utakapogundua kumbe sisi wanaume ni wapole sana,hiki kiburi na utemi ni pale tunapokuwa barabarani tu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom