toriyama
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 1,566
- 3,234
Kichwa cha habari na mada havihusiani samahanini. Wadau. Haya tuendelee na somo letu. Hili pendwa. Thread hii omeshafutwa mara 3 ndani ya dakika 17
Ahaahaa kwanza kabisa naomba niweke bayana. Mimi ni member wa kudumu wa MMU..katika pita pita hapa na pale katika research ndogo nilizowahi fanya na kuendelea kuzifanya. Nimekutana na mambo ya kuishangazaa ulimwengu hasa katika ukimwengu wa mahaba... Kisiwa cha mapenzi na burudani. (Kwa leo sizungumzii kisiwa cha patmo alichokuako yohana muandishi wa kitabu cha ufunuo. Alipooneshwa mambo yajayo na yatakakuwa ni nyakati za tabu na mwishonwa dunia hii na tanu pia. Hapanaaa). . basi tuendelee. Hasa kwa kina dada/wanawake. Mada hii kidogo inawahusu sana. Na sio jambo geni sana kwa upande wa wanaume kushuhudia hali hii.. Hasa kwa wale wanaharakati wa kutafuna vipochi manyoya hapa na pale.. Nazani mtajua hamko mbali na mada hii..
Bila kupotesa mda. Najua. Mods wakiisoma hii thread wataifunga sihui inawakumbusha wapi. Mimi sijui. Maana hii ni thread ya tatu sasa kufutwa.. Tuanze
UKE KUTOA SAUTI
..
Kwa mwanamke ambae ameshawah kukutana na jambo hili zaid ya mara moja basi anajua ni fedhea kiasi gan hua anapata na kukosa hamu kabisa ya kuendelea na jimai
sasa tatizo sio kuskika kwa saut huyo ila ni mume kuto kujua ni nn hali hiyo je ni ugonjwa tatizo au ni jambo la kawaida akisha jua hili hata weza kumcheka mwanamke na kumuona wa ajabu kimaumbile
KWANINI UKE HUTOA SAUTI
Umbo la uke lipo katika hali ya mikunjo mikunjo kitaalam huitwa VAGINA RUGAE ambapo mikunjo hiyo ipo kama mikunjo ya bati sasa pindi inapo ingia hewa huiminya na kutoa nje ndo maana kuna mikao ukikaa hufanya uke kufinya hewa ile na hewa kutoka kwa kutoa sauti ima kwenye jimai kwenye mazoez au hata ukiwa unafanya usafi
IKIWA IMETOKEA WAKATI WA TENDO PENDWA
nilisha sema kua uke na uume hua mfano wa sindano za hospital ( injection ) unapo vuta hutoa fyonza hewa ilio ingia ndan au hufyonza dawa ulio iweka kwenye kichupa kitendo hiki hakina tofaut na uume kuiingia kwenye uke na kutoa
kuna mikao ambapo hupelekea hewa kuingia na uume unapo toka ima kuingia huiminya hewa hiyo na hapo hutoa mlio
ukiangalia kwa makini ni kama vile koromeo likipitisha jesi/hewa hutoa mlio sawa sawa na huo japo huu unauita kucheua na ule una sema ni kama ushuzi lakin sio hivyo ikiwa utatafakari
SABABU ZA UKE KUTOA MLIO
1.UREFU WA UKE kutoka katika kizaz japo sio wote
2.UDOGO WA UUME HASWA UPANA (GIRTH)
unaweza kua na uume mrefu na bahat mbaya ukawa sio mnene kuweza kushika kuta za uke na upepo kuweza kuingia pindi unapo ingiza
WATU WALIO JIFUNGUA japo sio wote
KUTANUA UKE kupita kias chake haswa katika mikao
NINI CHA KUFANYA
1. angalia mikao ya kufanya ambayo haita ruhusu hewa kuingia ndani
2.tumia maji ya baridi kujisafishia uke kila unapo maliza raundi katika tendo pendwa au kujisafisha ima ukiwa umetoka chooni au asubuhi
fanya mazoezi
.....dakika chachewataufunga tena huu. Uzi...
Mungu anawaona. Haya bana