silvestre diamond
New Member
- Jul 10, 2018
- 2
- 0
- Habari za jioni
Ninahitaji Kupata TIN NUMBER..
Kwa ajili ya biashara ingawa biashara bado sijaanza
JE vigezo gani vinatakiwa
Au mpaka niwe nimeshaanza biashara?
Hapa ni jukwaa la mapenzi, hebu Google jukwaa la TRA.Naomben mnijuze kwa wanaojua
- Habari za jioni
Ninahitaji Kupata TIN NUMBER..
Kwa ajili ya biashara ingawa biashara bado sijaanza
JE vigezo gani vinatakiwa
Au mpaka niwe nimeshaanza biashara?
Taxpayer Identification NumberTax Identification Number