Nataka mke mrembo sanaaaaaaaa!!!

Nataka mke mrembo sanaaaaaaaa!!!

sambara

Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
17
Reaction score
3
Kwenu wanawake wa kizazi kipya!!!

Una sura nzuri? Una umbo kali? Nataka mke wa namna hiyo.

Mimi nilishatangazaga hapa kuwa nataka kuoa. Lakini songobingo nilizokutana nazo mpaka nikaahirisha kwanza. Sasa nimerejea kivingine.

Ninachotaka ni mwanamke asiyezidi miaka 30 aliyetayari kuwa mke wa mtu. Uwe mkristo halafu umekomaa kiakili.

Mwonekano mzuri, umbo zuri vitakuongezea fursa.

Njoo pm. Sitajibu chochote nje ya PM.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom