Mimba inaweza kuingia kwenye one night stand, ukiwa umekewa na mkajikuta mna kuwa wazazi bila kupanga. Sasa issue inakuja pale mwanaume huyo huyo unazaa nae wawili wengine. Kwao hawakufamu...
Kama mada inavyojieleza
Miezi kadhaa sasa nipo hapa Morogoro mjini
Nimestahajabishwa na hali hii ya kukuta vijana/wanaume wa hapa wanakula Mahindi ya kuchoma hasa Yale ya Kennedy (Njano) wakiwa...
Hata 'Joshua' juzi aliniambia kuwa mbona nimebadilika sana, nimeongezeka ukubwa lakini pia ule ukavu ukavu haupo na makelele yamekuwa mengi tofauti na zamani! Na hili hata (akataja majina ya...
Ni swali dogo lakini majibu yake yanatofautiana sana .. Hivi kuoa / kuolewa ni lazima au ni muhimu?
Nawahukuru wote mliotoa michango yenu ila kwangu mimi naona kuoa ni muhimu! Umuhimu wake ni...
Jamani kwa Mwanamke mwenye sifa hizi, Mweupe, asiwe mfupi, asiwe mwembamba sana, asiwe na miaka inayozidi 30, awe muislam, asiwe mwenye watoto, basi tuwasiliane inbox kama yupo tayari kuolewa, mie...
Tukio hili limetokea juzi kuamkia jana. Mamaye biharusi aliambatana na mwanaye kwenda kuchukua dawa itakayo dumisha mapenzi ndani ya ndoa
Mganga huyo mwenye jicho la mwewe alimrubuni bibi harusi...
Mtakaonisema kivyenu! Hii maneno ilikuwa kati ya mashostito wawili walokuwa
wakiongea 'girly stories' zao na kama kawa sikio langu nikalitegeshea usawa
na uelekeo wa maongezi yao. Ni kama...
Hodi tena jamani. Kama kawa nawaletea umbea wa kweli!
Labda niseme nina bahati mbaya sana kupanga nyumba moja na hawa mashostito.
Bila kujua kwamba nipo ndani nimejipumzisha, wakaanza mastori...
Ama kweli mapenzi yana raha na karaha yake. Ila hii ya huyu dada ni kali kwa kweli.
Kama ilivyo kawaida ya wadada walioshibana wawapo zaidi ya wawili, hawakosi kuongelea mambo yao ya ndani ya...
Jamani wanaume kuweni wastaarabu.
Kama mwanamke hakutaki acha kumkashifu utaishia kuaibika buree!
Hii imemtokea kidume mmoja hapa manispaa ya Morogoro eneo la mazimbu. Baada ya njema kuchunwa...
Wapo ambao wanadai wanawake wengi wangekuwa wanapata vipigo wakati wa love making kwani wengi huwa kama wafu wanapopata orgasm. Wengine walidai eti wanaume wangekuwa vicheche zaidi ya walivyo...
Jamaa yangu ananiomba ushauri afanyeje baada ya kupigiwa simu na kutolewa maneno ya ukali
mpenzi wake wa kike akitaka ampe hela aliyomahidi siku moja kabla ya huyu kaka kufiwa na
ndugu yake wa...
Chonde jamani baadhi ya kina mama/dada/wasichana mbona mna roho kama za ajabu hivi.
Unawezaje kumwambia mumeo tena wa ndoa maneno kama hayo? mweeee!
Maneno haya amtamiwa mwanaume na mkewe wa...
Habari zenu wanajamvi? kiukweli nipo njiapanda kuhusu huyu mvulana namuita hivyo kwa sababu nimemzidi umri mbali sana ni kama mdogo wangu.
Huyu mkaka ametokea kunipenda kuliko maelezo yani mwanzo...
Ni binti Ambaye naweza kusema tulipendana sana katika historia ya mahusiano yangu!
Mwanzoni mwa Mwezi June in one day binti alikuja na Excuse hataki uhusiano wa kimapenzi tena!
ilifadhaisha sana...
Nimekuwa katika mijadala na wadada mara kadhaa, nawambia kuoa na kuolewa kunamaana sana kujua kwamba ukioa unamiliki na ukiewa unamilikiwa, hivyo usipojua maana ya haya maneno utapata tabu sana...
"Habari za sahizi wakuu natumai mpo vema.
Mimi ni kijana wa kiume waumri wa 26
Nilianza mahusiano na binti mmoja kutoka tangu miezi zaidi ya sita sasa.Hatujawahi kuwa na ugomvi pia malengo yetu ni...
Asee siwezi kufika mbali sana ila kiukweli siku hizi siyo kama zamani kwamba mapenzi matamu yanapatikana Tanga pekee,
Katika pita pita zangu nimepita na wengi lakini nimejaliwa kupita na Sample 3...