Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwanini vijana wengi wa siku hizi wanasema kuwa,mapenzi yalikuwa zamani ila kwa sasa ni wizi na udanganifu mwingi? Ni kweli mapenzi yalikuwa zamani,zile zama zetu sisi ila kwa vijana wa sasa...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari za muda huu wapendwa bila shaka Mungu amewaamsha salama!!!! Wanaume wenzangu wengi wamekuwa na mitazamo isiyofaa baada ya kuoa hali inayozua mgogoro wa chini kwa chini uso kuwa rasmi na...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwanaume anaweza akawa anamfukuzia mwanamke kabla hajampata,ataonyesha anakupenda sana,atakuwa anaongea na hisia kali sana Kabla hujamkubalia kila baada ya lisaa anakupigia sim,SMS kila...
9 Reactions
293 Replies
19K Views
Habarini ndugu zangu mimi ni kijana wa miaka 25 nimemaliza elimu yangu ya chuo kikuu na nina ajira kwenye kampuni nipo kwenye mpango wa kuoa lakini napata shida ya mwanamke yupi kati ya hawa...
1 Reactions
71 Replies
5K Views
Kimo kirefu. Mabega mapana Mwanamme mpole/asiye mchoyo Sauti nzito Mchekeshaji...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
Hapo za mani za kale Prisca alikutana na Kwesi raia wa Ghana lakini wazazi wake walikuja Tanzania kama waajiriwa wa UN. Kweli ni kijana smart mno. Alipata shahada ya kwanza ya uzamili katika...
2 Reactions
10 Replies
45K Views
Habarini wadau wa JF Basi pasipo kupoteza muda. Wadau wenzangu hususani wanaume huwa mnatokaje mkiulizwa swali hili Umepataje namba yangu? NB: Hilo swali umeulizwa na mdada mrembo...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habari hapo juu, Mimi ni mpangaji nimepanga nyumba moja hapa mjini na nina kama miezi sita kwenye hii nyumba niliyopanga ambayo...
10 Reactions
249 Replies
23K Views
Huyu mpenzi wangu wa kike miaka 28 sijui huwa ana tatizo gani....nikiwa naye faragha yaani dakika moja haiishi Nikianza kumuandaa kama dakika 6 huhitaji nimpande....nikisha mpanda dakika 2...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Kama mada inavyojieleza Kuna wakati zilienea taarifa za mwalimu kwa jina Ayubu wa St Florence P school DSM za kuwala wanafunzi wake wa std 7 Wazazi walihamaki na kujaa upepo mbaya hasa wamama...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Kuna hii tabia ya michepuko kuleta mbwembwe nyingi chumbani pindi tu anapojua kwamba kuna mwenzake ambae alimtangulia na still yupo active.Unaweza ukamtafutia sehemu ya kukaa ukafungulia na...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Nazikumbuka zile chupa za konyagi .ata sijui tuliziangusha ngapi Ila nacho kumbuka Yule jamaa akushusha mikono. Nilikuwa chakali bwiiiii Ila nilikuwa makini mana watoto wa mabibo ukiwa maji...
1 Reactions
32 Replies
9K Views
Salama wapendwa? Naombeni ushauri nifanye nn huyu mdogo wangu ni mtoto wa mama mdogo ameolewa na ana mme ila amekuwa akinikera sana na tabia ya kuniibia nguo zangu za ndani kama chupi na taiti...
4 Reactions
93 Replies
8K Views
Habari zenu wana bodi! Poleni na mihangaiko yenu ya maisha mimi nina 30yrs nimeajiriwa. Natafuta mke mwenye nidhamu na mwenye hofu ya mungu pia awe 20yrs mpaka 28yrs pia asiwe bonge sana kikubwa...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
jamani natafuta mpenzi wa kike miaka 30 mpaka 40 tule ujana.karibu
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Ni Miaka mingi kidogo, nawasimulia watakaokuwa wanapitia kadhia ya kutopata watoto katika ndoa, mimi pia yalinikuta, pengine mtajifunza kitu. Kila jambo lina mwisho wake, hakuna jambo lisilo na...
94 Reactions
160 Replies
32K Views
*_TUOMBE KWA AJILI YA WANAUME._* 1. Atapiga offer za kutosha bar lakini nyumbani harudi hata na Fanta ya kopo We Mungu wetu waondolee wanaume sifa za kijinga. 2. Ana pair moja ya soksi akivua...
16 Reactions
42 Replies
6K Views
Salaam wana MMU. Nimepatwa na masaibu usiku wa kuamkia leo. Naishi na mke wangu tangu 2008. Tuna mtoto mmoja na hivi sasa mke wangu ni mjamzito. Tatizo lipo hivi;mimi na mke wangu ni...
3 Reactions
123 Replies
14K Views
Aisee mtihani ni pale unaponunua kiatu kwa bei kubwa bila kujua ni size gani!ukiowa bila kutest mitambo utajikuta umechukua over size na Kuichukia ndoa yako!Ni kweli mwenyezi Mungu ametukataza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…