Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

kama kichwa cha habari kinavojieleza,niko serious natafuta binti wa kuoa,umri wangu ni 35yrs. vigezo; -awe tayari kuchek afya -umri chini ya wangu -kabila lolote -anajitambua kuwa anahitaji kuolewa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu mbele yenu naombeni msaada wenu naomben shughuli zinazohusian na usafirishaji hasa mabasi makubwa,kuuza duka,na biashara mbalimbali makampuni hata garden uhouse boy . nafanyah ali ni...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Mimi ni mama nimeolewa miaka mingi tu(zaidi ya kumi sasa), na Mungu katujaalia watoto, Hapo nyuma tulifungua biashara kadhaa na mume wangu lakini biashara zote hizo zilikufa kutokana na yeye...
10 Reactions
446 Replies
34K Views
Malaya / Makahaba wengi huwataka Wateja wao kutovua Suruali zao zote bali huwataka kuzishusha tu hadi mapajani au magotini na wakikuhurumia sana basi watakuruhusu uishushe hadi Ugokoni tu lakini...
3 Reactions
121 Replies
24K Views
Well sijaandika siku nyingi humu mnisamehe kama uandishi wa mada za JF siku hizi umebadilika. Nimekaa nimewaza sana kuhusu mada zilizopo aidha humu au magroup ya wassap na magroup ya Facebook na...
4 Reactions
27 Replies
5K Views
Disclaimer! Well mi SIO MTU WA KUSAMEHE LAKINI PIA SINA GUTS ZA VISASI KIHIVYO. BUT HEBU TUFIKIRI PAMOJA Issue ya GAZETI IMENIFIKIRISHA SANA!! 1.HIVI NIKISAMEHE NI LAZIMA NISEME NIMESAMEHE...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Naongea na nyie kaka/shemeji zangu mliooa wanawake wazururaji kama vile wamekula miguu ya kuku. Hivi huwa mnashindwa kuwacontrol au wanawake wanakua juu yenu ndio maana muda wote anaojisikia...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nakumbuka ilikuwa 2004,, pind nasoma,, Form,,6 Sengerema,, sec,,Mwanza,, Ndipo Nikaamua kukutana live na Binti,, live Mwanza mjini na binti aliye kosea,, Namba na kunipigia kwenye cm yangu,,ya...
10 Reactions
269 Replies
23K Views
Usione mnapendana na mpenzi wako kumbe nyuma kuna watu wanaombea mvurugane na mahusiano yenu yavunjike Wanaume ambao wapo karibu au wanafahamiana na mpenzi wako huwa si wazuri hakika wana tabia...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Correct me if I'm wrong.yan kun wanawake unawez ukawa kabla ujaend kumgegeda akakupa tambo nying sana .kidume ukajikoki anajua Leo naend kukutana Na bingilbingil kumbe mwisho wa siku unakuta...
4 Reactions
96 Replies
8K Views
Mwanamke anayempenda mwanaume na kugundua mwanaume wake ni handsome hawezi Kumwambia au kumsifia mpenzi wake kuwa wewe ni handsome Badala yake atakusifia kinyume kuwa una sura ngumu,na ukinuna...
7 Reactions
126 Replies
12K Views
Sote tunajua yakuwa hakuna mkamillifu ila aliye juu na ktk mapenzi sisi wanaume tumekuwa dhaifu sana ktk suala la uaminifu ktk ndoa zetu. Direct to the point; Nikiri tu wazi yakuwa mimi ni mme wa...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Kwenye dunia ya sasa watu wengi wanakabiliw na stress. maisha yao yamejaa huzuni, mashaka , kujichukia, na kutojiamini kabisa. wengine wamejikuta wakihatarisha afya zao na kupelekea kuishi maisha...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari zenu Nimefurahi story hii kupokelewa vizuri na kwa hisia tofauti tofauti ikiwa imesomwa na watu zaidi ya 23,000 na comments 550, huku kila mmoja akiwa na maoni yake binafsi. Pia kupitia...
4 Reactions
60 Replies
6K Views
Wakuu, Nipo mahali napata fanta ya baridi...na kiyepe yai...naona udenda ushakushuka... Tuache hayo njoo kwenye mada. Mbele yangu kuna meza imejaa wadada wa mjini wametupia pamba kali hatari...
15 Reactions
140 Replies
15K Views
Wakubwa habarini Za muda huu.., Niende kwenye mada..,Nilikuwa na mpenzi ambaye tulijuana Secondari lakini hatukuwa kwenye mahusiano hivyo yapita miaka 4 sasa baada ya kufika Chuo kikuu nikapata...
2 Reactions
89 Replies
7K Views
Angalia hii video ..Then tujadili ?ukiachia haya unadhan ni mambo gan muhimu unayotakiwa uyafanye kwenye tendo la ndoa..Maana hapa kuna mambo mengi ukikosea step unaweza ukajikuta unapata tabu...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Habari wakuu! Je, ikitokea siku unafunga ndoa na mpo dakika za majeruhi unatazama mbele unamwona mtu wa jinsia yako, yaani mwanaume au mwanamke mwenye sura ngeni kwako hatulii na mkononi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika hali isiyo ya kawaida mama mwenye nyumba ananifwata chumbani kuniuliza mambo yasiyo ya maana hata. Mara aje atake nim’badilishie lock ya simu yake, mara anasema macho hayaoni vizuri...
5 Reactions
80 Replies
20K Views
*STORY*: KARIBU UANI *MTUNZI*: JK 0718274130 *SEHEMU YA KWANZA* ************** Saa 12 asubuhi, tayari nilikua njiani kama kawaida yangu. Nilikua katika pikipiki yangu ambayo mara zote ndio huwa...
0 Reactions
12 Replies
27K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…