Stuka: Mapenzi ya 'kishirikina' ndio habari ya mujini

Stuka: Mapenzi ya 'kishirikina' ndio habari ya mujini

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
8,274
Reaction score
25,322
Wakuu,
Nipo mahali napata fanta ya baridi...na kiyepe yai...naona udenda ushakushuka...

Tuache hayo njoo kwenye mada.

Mbele yangu kuna meza imejaa wadada wa mjini wametupia pamba kali hatari.

Nasikia mmoja anasema mh! Yani yule kaka nimempa mara moja tu kachanganyikiwa..

Wakacheka wote...aliyekuwa anawapa story wenzake akageuka nyuma...kama anawasiwasi mtu asimsikie...

Nikajikausha kama nakata chipsu yai...mara nakunywa soda...akaendelea kuongea...

Unajua bana mjini bila kuwa na akili huwezi kumlata mwanaume wa kukuoa wala kukupa pesa...

Hivyo unatakiwa utumie 'dawa ya mvuto'...yani kila mwanaume akikuona anavutika...

Nilishanga kimoyomoyo...ghafla kisimu kikaita mume wangu kaja kunichukua....

Mpaka sasa najiuliza...

Wanaume mnakazi kubwa...

Doncute
 
Huo ushirikina umemuua Dada mrembo kisa ndoa, hafu mwanaume karudi kwa ex wake I do believe you can't force love ukijiweka tu vzuri kitabia na kila kitu utapata MTU sahihi sio kutumia haya madawa mana asilimia kubwa kwa waganga mtajawaua hawa wanaume bure
 
Simulia basi vizuri tujifunze
 
Utampata ila baada yakugawa sana uroda kuna wanaume hawanaga chatabia nzuri wala mbaya wao nichapa ilale ila wana sound mchicha hatar
 
Simulia basi vizuri tujifunze
Mi nipo Facebook kwenye ma group ya wanawake sasa wasiojielewa ndo huelekezana waganga na kutumia dawa za kunasa wanaume bora hata kwa single kwa waume za watu ndo usiseme ili unase, eeeh niliyoyaona nikawahurumia wanaume sana maana mwahtaji maombi, pia wanawake wanapenda kwa waganga, waganga wake huwaingizia dawa huko ukeni, imagine mganga ka si mgonjwa hali inakuwa vipi.

Tena vyuma vilivyokaza ndo kwa waganga wanajaa sana, wanaume kuweni makini na mnao date nao.
 
inabidi wanawake waliolewa kuwaombea sana waume zao na kuishi nao kwa upole na unyenyekevu kwakuwa kila mwanaume mwenye ndoa anatafutwa na wanawake saba.
  • ofisini wawili kwa ajili lunch na mizinga ya dharura.
  • mtaani watatu
    • mmoja kumkomoa mkeo kwa kuwa analinga na huko vizuri.
    • mmoja uchumi (mwanafunzi wa chuo, single mama nk)
    • mke wa mtu asiyetoshelezwa
  • skuli mate
  • mchepuko wa hiyari.
 
Wengi wa wadada wanaotumia dawa za mvuto huolewaga na waganga walah
Nikweli ila sio kivile sana sema waganga wanawala sana japo wanaoolewa nawaganga wapo ila niwachache sana ila mleta mada yupo sawa namimi jamii iliyonizunguka ndio wengi tabia zao wanawake wengi

Ukiona kuna wanawake wanaoamini katika maombi kupata waume ujue pia wapo wengi sana wanaoamini katika shiriki katika kupata waume pia so niimani2 ila angalieni2 msituuwe jamani
 
Back
Top Bottom