Amarosa
Member
- Jan 13, 2018
- 32
- 23
Naongea na nyie kaka/shemeji zangu mliooa wanawake wazururaji kama vile wamekula miguu ya kuku. Hivi huwa mnashindwa kuwacontrol au wanawake wanakua juu yenu ndio maana muda wote anaojisikia anatoka tu kwake.
Umeoa mwanamke mara anaenda masomoni miaka mitatu shemeji yangu unakaa mwenyewe hili halina shida shule muhimu, shule imeisha anatafuta field mbali na nyumbani hapa alama za kuuliza zinaanza, field imeisha mara anaenda kwa mama mwezi mmoja, hivi mnajisikiaje kuishi na Wanawake kama vipepeo.
Nawe mwanamke unaeifanya ndoa yako ni sehemu ya matembezi unazo kweli? Ndio ndoa hivo, majukumu yako, kero zenu, upendo wenu, migogoro yenu, mkae mtulie na waume zenu sio kurukaruka kama popcorn, nanyie wanaume kuweni wanaume ulioa ili tuje kunywa bia zako!?