Lakikunene
Senior Member
- Jul 18, 2017
- 129
- 145
Wakubwa habarini Za muda huu..,
Niende kwenye mada..,Nilikuwa na mpenzi ambaye tulijuana Secondari lakini hatukuwa kwenye mahusiano hivyo yapita miaka 4 sasa baada ya kufika Chuo kikuu nikapata mawasiliano yake kutoka kwa rafiki yake wa karibu na kuanza kumtafuta na hatimaye tukaanza kuchati huku tukikumbushana urafiki wetu wa Sekondari na baadae tukajikuta tumekuwa wapenzi na hatimaye kuanza mahusiano yetu
Baada ya mahusiano ambayo mengi yalikuwa kimawasiliano(Communication)zaidi kwakuwa mimi nilikuwa Chuo namaliza na yeye yupo mbali akijishughulisha na mishe mishe za kawaida za kutafuta pesa huko jijini Dar es Salaam na mimi nikiwa Dodoma (Chuoni) nilifanikiwa kuonana nae siku moja Dar na kufanikiwa kukutana nae kimapezi na tukaendeleza mahusiano yetu...,Tatizo lkaja pale ambapo mpenzi wangu huyo anatakapesa kila mara yeye ni pesa anataka huku nilishamweleza kwasasa sina pesa mpaka nipate mahali pa kujishkiza kidogo ndipo nitakuwa na muhudumia nikiweza Lakini akawambishi ugomvi kila siku usioisha hadi kufikia hatua ya kuniblock kabisa na kuniambia amechoka na Mimi.
USHAURI;
Nifanye nini niweze kumsahau ingawa nilimpenda Sana na kutegemea wenda siku moja akawa mama wa watoto wangu..,Lakini Tayari ameshani Block na sijui cha kufanya..? Naombeni ushauri ndugu zangu.
Ahsanteni Sana.