snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,338
Well sijaandika siku nyingi humu
mnisamehe kama uandishi wa mada za JF siku hizi umebadilika.
Nimekaa nimewaza sana kuhusu mada zilizopo aidha humu au magroup ya wassap na magroup ya Facebook na pengine hata mikutano ya wanawake wengi be it kitchen parties na mazungumzo tu ya kawaida
Nimeshindwa kabisa kujizuia kufikia hitimisho hili la kusikitisha
"WANAWAKE HATUNA NDOTO NYINGINE ZA MAISHA ZAIDI YA KUWA WAKE BORA"
hapo nikajiuliza tena
"MKE BORA NI YUPI'? sikupata jibu
Ikazidi kunifikirisha
nikajiuliza tulipokua tunaingia usichana wanawake huwa tuna ndoto nyiiiiiiingi sana
na bila shaka kuolewa na kuwa na watoto ni mojawapo,lakini
"WAS IT ALL?"
Kama ndiyo kwanini inapofikia hili limefail kwanini wanawake huamini hakuna kitu kinaweza kufanikishwa tena kwenye maisha ?
VIPI KUHUSU NDOTO ZA KUWA WAPISHI WAZURI,MADAKTARI WAZURI,WAMAMA WAZURI,WAFANYAKAZI BORA,RAFIKI WA KUTEGEMEWA,UNAYEJIMUDU KWENYE TAALUMA YAKO,WAREMBO,"
well maisha wakati Fulani najua huenda vile hukutaka yaende ,lakini is it SO "DIFFICULT TO KUJIPANGA UPYA NA KUANZA TENA?"
Naweza kuwa sijagusa hasa hitaji ya ninachotaka kusema lakini nia yangu ni kutaka tufikiri pamoja na pengine tupeane suluhisho nini kifanyike.Nahofia sana hiii habari ya kila post kwenye makundi ya wanawake ni kuhusu michepuko na namna ya kuwatukana na kuwashambulia!Mimi kwangu hii ni aina ya kulikimbia tatizo as to mtu anatafuta pa kumaliza hasira yake baada ya kuona maisha yake yamekuwa sivyo tena aliwahi fikiri yatakuwa.lakini HAIRUDISHI MAISHA VILE YALIKUWA!
HUDHANI KAMA HUU NI WAKATI WA KUFIKIRIA NA KUZIHUISHA NDOTO ZAKO UPYA
Nipo tayari kukosolewa!
Nategemea na mawazo ya wanaume pia
sio mbaya wakati Fulani kuazimishana uzoefu
Blaki Womani Fixed Point FirstLady1 Kaunga miss chagga gfsonwin KOKUTONA AshaDii Kongosho King'asti house girl et al hebu mkuje kipande hii
na nimewamiss kimsingi!