MSAMAHA NA KISASI!!

snowhite

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
17,704
23,634
Disclaimer!
Well mi SIO MTU WA KUSAMEHE LAKINI PIA SINA GUTS ZA VISASI KIHIVYO.

BUT HEBU TUFIKIRI PAMOJA

Issue ya GAZETI
IMENIFIKIRISHA SANA!!

1.HIVI NIKISAMEHE NI LAZIMA NISEME NIMESAMEHE?

2.NISIPOSAMEHE NI LAZIMA NILIPE KISASI?

3.KINYUME CHA MSAMAHA NI KISASI?

4.AMANI BAADA YA KUKOSEWA SANA,INAPATIKANA KWA KUUMIZA SANA ALIYEKUKOSEA SANA?

5.KUDHARAU NA KUPUUZA NI KISASI AU NI ADHABU?

6. ADHABU INATOA RIDHIKO?

7. ADHABU INATOA HITIMISHO LA KOSA?

8.KIWANGO KIKUU CHA KUKOSEA NI MREJESHO WA MAUMIVU?

NAENDELEA KUFIKIRI!!

NISAIDIWE PLS!!

MKUU GAZETI
with all the due respect!!
Nimekutaja TU kwa rejea,SIMAANISHI NIMEBEZA MAAMUZI YAKO!!

humbly submit!
 
Mi ni mawili...i alwaysss revenge petty issues cause i can...mf umenichunia nakuchunia na nnakublock juu hadi uumie ukinitafta weee tunaongea km zaman roho ishatulia

And i forgive big things i cant revenge on
Mf..umenisaliti..siwez jitia kero nikusaliti na mimi ni kama najikosea pia kwa kuanza process nzima hio
So i js forgive yah ila ntauchunaa hutojua km umesamehewa

Ts either revenge/forgiveness,..no in betweens
 
Disclaimer!
Well mi SIO MTU WA KUSAMEHE LAKINI PIA SINA GUTS ZA VISASI KIHIVYO.

BUT HEBU TUFIKIRI PAMOJA

Issue ya GAZETI
IMENIFIKIRISHA SANA!!

1.HIVI NIKISAMEHE NI LAZIMA NISEME NIMESAMEHE?

2.NISIPOSAMEHE NI LAZIMA NILIPE KISASI?

3.KINYUME CHA MSAMAHA NI KISASI?

4.AMANI BAADA YA KUKOSEWA SANA,INAPATIKANA KWA KUUMIZA SANA ALIYEKUKOSEA SANA?

5.KUDHARAU NA KUPUUZA NI KISASI AU NI ADHABU?

6. ADHABU INATOA RIDHIKO?

7. ADHABU INATOA HITIMISHO LA KOSA?

8.KIWANGO KIKUU CHA KUKOSEA NI MREJESHO WA MAUMIVU?

NAENDELEA KUFIKIRI!!

NISAIDIWE PLS!!

MKUU GAZETI
with all the due respect!!
Nimekutaja TU kwa rejea,SIMAANISHI NIMEBEZA MAAMUZI YAKO!!

humbly submit!
Kisasi ni haki na kutolipa kisasi ni ukafiri..
 
Kusema ukweli napendaga sana kuona mwanamke anakua na uwezo wa kuruhusu kichwa chake kifikirie,kijiulize maswali n.k

Wee ni aina ya wanawake naopenda kuwaona ktk dunia yangu !!

Juu ya Mada yako

1/ ukisamehe nilazima uonyeshe umesamehe kwa matendo kuliko kusema zaidi.

2/ kutokusamehe hakumfanyi mtu alipe kisasi , unaweza usisamehe alafu ukafanya yako.

3/ hapa sijui maana sio mtaalam wa lugha..navyojua msamaha ni kuruhusu yalopita yasahaulike baada ya kutendewa jambo lisilokufaa.... Kisasi nikitendo cha kuulipa ubaya kwa ubaya

4/Asili ya wanadamu niiyo. Ili ajione mwenye aman baada ya kufanyiwa ubaya nilazima nayeye ajitahidi kumuumiza mbaya wake ( Mungu pekee wakutuokoa)

5/ Kudharau na kupuuza ni kisasi ila inategemea nauyo unayempuuza au kumdharau... Kuna mtu ni anakufanyia ubaya, unaamua kumpuuza lkn ndo kwanza jamaa anazidi kukuzogoa,sasa mwisho "Kiubinadamu" wee mwenyewe unaonekana boya.

6/ Ndio adhabu inatoa Ridhiko.... Wanadamu tunakufa km adhabu ya kutenda Dhambi .ivo kwa Mungu n Ridhiko..... Sembuse sisi wanadam???.

7/Ndio Adhabu hutoa hitimisho la kosa .

8/ ndio , mrejesho wa maumivu ayapatayo mtendwa ndio huelezea ukuu wa kosa husika.

Mwisho.

Kuna makosa hapa duniani hayahitaji msamaha, kuna makosa yanahitaji msamaha ....

Kwann hayahitaji msamaha??? Nikwasababu Maumivu yake hayaishi mpaka utakapoingia Kaburini .... sasa kwann uishi nakinyongo mpaka tunakuzika?? Na moto uchomwe sababu ya kinyongo??? Nakwann usamehe ili hali hamna Relief yoyote utakayoipata kutoka ktk huo msamaha??? .

Ohoooooooo tuache masiala kuna mambo hayahitaji msamaha, na Ni ADHABU pekee itakayotoa funzo kwahuyo mtendaji.
 
Humbled mkuu!!

Umenijibu vizur mpk nimesoma Tena na Tena!;

ni KWELI!!
KUNA MAKOSA HAYASAMEHEKI!!
LAKIN KUNA MAKOSA HATA KUTOKUYASAMEHE NI KUYAPENDELEA!!

GAZETI Hana ADHABU ATAMPA MKEWE ITAMFAA!!
HAIPO!!
so KUNA VITU UNAAMUA KUTOVISAMEHE SIO KWA KUWA UNATAKA KULIPA KISASI!

no,
HAVISTAHILI HATA KUTOSAMEHEKA!!
ni kuviacha kama vilivyo!!

kuna Prof mmoja
Ukipatia swali anakupa tiki
Ukikosea anakupa cross
Ukitoka nje ya swali,anarudisha karatasi kama lilivyo!!

MAANA YAKE!!
ukipatia,umestahili
Ukikosea,umeelewa swali ila hukumbuki jibu sahihi so unastahili wino wake
Ukiwa OP,hustahili hata dot yake kwenye karatasi yako..
 
Shukran sana mkuu, Nitakua nmechelewa kufatilia post zako !! Ila najua ndo kwanza kunakucha hivyo muda wangu nitakua nautoa ktk kuchangia Post zako !! .

Keep it up...just love A Friend with independent mind , for, unaweza mfanya mtu alione tatizo lake bila kujalisha kona gan limejificha!!
 
Disclaimer!
Well mi SIO MTU WA KUSAMEHE LAKINI PIA SINA GUTS ZA VISASI KIHIVYO.

BUT HEBU TUFIKIRI PAMOJA

Issue ya GAZETI
IMENIFIKIRISHA SANA!!

1.HIVI NIKISAMEHE NI LAZIMA NISEME NIMESAMEHE?

2.NISIPOSAMEHE NI LAZIMA NILIPE KISASI?

3.KINYUME CHA MSAMAHA NI KISASI?

4.AMANI BAADA YA KUKOSEWA SANA,INAPATIKANA KWA KUUMIZA SANA ALIYEKUKOSEA SANA?

5.KUDHARAU NA KUPUUZA NI KISASI AU NI ADHABU?

6. ADHABU INATOA RIDHIKO?

7. ADHABU INATOA HITIMISHO LA KOSA?

8.KIWANGO KIKUU CHA KUKOSEA NI MREJESHO WA MAUMIVU?

NAENDELEA KUFIKIRI!!

NISAIDIWE PLS!!

MKUU GAZETI
with all the due respect!!
Nimekutaja TU kwa rejea,SIMAANISHI NIMEBEZA MAAMUZI YAKO!!

humbly submit!
Ni swala la nadhariaria tuu inayoongoza vitendo vya mtu.
 
Shukran sana mkuu, Nitakua nmechelewa kufatilia post zako !! Ila najua ndo kwanza kunakucha hivyo muda wangu nitakua nautoa ktk kuchangia Post zako !! .

Keep it up...just love A Friend with independent mind , for, unaweza mfanya mtu alione tatizo lake bila kujalisha kona gan limejificha!!
Karibu na Ahsante Sana!!
Kujifunza ni pamoja na kushare unachofahamu!
 
Ni swala la nadhariaria tuu inayoongoza vitendo vya mtu.
Nadharia isiyopimika bila shaka!!
Ila nafkr inaweza fanyiwa hata fikira TU.
Kiasi angalau tukaweza kutoka hatua moja Kuja nyingine.

Ni vitendo vya kinadharia,ndio!
Lakini vinaathiri maisha ya watu.

KISASI&MSAMAHA husemwa kuwa vina mchango MKUBWA mnooo katika MAAMUZI tunafanya!!

sasa najiuliza,

HAKUNA HAPO KATIKATI KITU NEITHER MSAMAHA NOR KISASI!
 
Inategemea sasa nadharia inayoongoza matendo yako wewe katika mazingira fulani. Je, unatumia nadharia changa inayotokana na ulimwengu wa hisia? Je, unatumia nadharia komavu inayotokana na ulimwengu wa fikara? Kuwa neutral inawezekana. kuna jamaa aliambiwa mkeo kaingia guest house fulani twende tukafunie alikataa akasema sitaki murder case mimi nazingatia maisha yangu ya biashara basi habari ya kufumania sitaki. Huyu naye ananadharia fulani kwahiyo hiyo ya kuwa neutral inawezekana ila haitokei kwa bahati mbaya lazima uwe na nadharia hiyo.
 
Back
Top Bottom