Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nirudi katika mada, in short nilijaliwa mtoto na huyu mke, na niliishi nae kwa raha na shida, Ilifika wakati nikaona mambo japo yapo sawa lakini kwa jicho la pili mbeleni si kuzuri. Nikatafuta...
30 Reactions
71 Replies
11K Views
Natamani kupata mwanamke wa kufunga nae ndoa mwaka huu, umri wangu ni miaka 38, sijawai kuoa wala kuzaa na mwanamke yoyote nilikuwa masomoni Ujerumani. Mwanamke awe na umri wowote, dini yoyote...
3 Reactions
45 Replies
5K Views
leo nikiwa nimekaa sehemu napata kifungua kinywa pembeni yangu walikuwepo wadada watatu wanaongea. masikio hayana pazia sababu walikuwa wanaongea kwa uhuru kabisa pasipo kuuma uma maneno nami...
6 Reactions
87 Replies
53K Views
Salaam people mimi nina rafiki yangu anampenzi wake wanazini. ila anakwazikaga kwa maana mpenzi wake anaishi kwenye nyumba za kushea choo . mf. wanalalana halafu choo ikisha wanaenda bafuni kutoka...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Habari Wakuu Kama kawaida jukwaa letu MMU linaendelea kushika kasi kwa kupokea mada moto moto.. Kiasi ambacho mtu akikosa kwa dakika kadahaa anahisi kupungukiwa. Basi acha na mimi nilete...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Je kuna mtu yeyote katika familia yako au ukoo wako ambaye ni kero kwako? Unadhani huyo jamaa yako anayekukera anasababisha kushusha ari yako ya utendaji wako kazini kwa kuwa unapokuwa unafanya...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwenzenu naugulia jereha la bega hapa!!
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Et jmn mfano upo katika relation na umepata shida ya gafla inahitaji kama laki kazaa hv...katika akiba yako umepeleza laki 1....unamshirikisha mpenz/mchumba wako ambae unajua kabisa uwezo wa...
1 Reactions
48 Replies
4K Views
Unaweza ukawa unafanya mambo mengi mema kwa mpenzi wako lakini anaangalia na kunyamaza akifahamu ndani yake kwamba ni wajibu wako kufanya vile. Wapo baadhi ya watu wenye kiu na maneno ya...
3 Reactions
8 Replies
4K Views
Kuna ndugu yangu bwana alipata matatizo wakati wa kujifungua akafariki akaacha kichanga.na wenzake wawili. Watoto wanapata shida sana napata stress sana .natamani nimtongoze shemela kwa ajili ya...
5 Reactions
68 Replies
8K Views
Let share katika maisha kuna mtu unamuota na kutamani siku moja ungeweza kuonana nae na kumwambia maneno yaliyojaa kifuani mwako kama yuko humu MMU sio mbaya ukimtaja na hata kama yuko popote...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
mimi ni ghulamu mwenye umri wa miaka 24,natafuta mpenzi mwenye umri usiozidi 21,maji ya kunde au mweupe,mwenye mapenzi ya kweli
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Iko hv kuna dogo anamchumba wake Mwanaume ana kazi nzuri kiasi ila ukoo mzima unamtegemea yeye, kijijini baba ake anawake 3 ambapo asilimia 80% wanamtegemea jamaa kuanzia chakula kila kitu Sasa...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Baada ya kuachana na mwanamke ninayempenda sana nikapata mwingine within a week. Tatizo nalokumbana nalo yani najikuta kama najilazimisha kumpenda huyu binti, most of the time automatically...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Habari za saa hizi, Jamani Jamiiforums siku hizi imejaa maigizo....sielewi watoto ambao hawajapevuka ni wengi au ndo penye wengi pana mengi?? Kuna wanaopendana,wakaachana hadharani(LOVE IS IN THE...
12 Reactions
76 Replies
7K Views
Kuna dada nipo nae karibu saana.. kabla sijaendelea nikiri mimi napenda kuangalia figure za wanawake[sio kwa ubaya]. sasa kwa mwonekano nyuma kavimba..cha kustajaabisha juzi kati namwangaalia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za muda huu wadau Niende kwenye mada .....rafiki yangu Noel alipata kua na mchumba ,mchumba ambae alimrubuni toka akiwa shule ,basi mtoto wa kike akafukuzwa kwao na kwenda kuishi kwa Noel...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Hellow, Mimi ni binti wa miaka 22, Nimezaliwa kijijini ila badae nilikuja mjini Dar kwa ajili ya kwenda shule. Lakini sikufanikiwa kumaliza kwa kuwa ndugu zangu walishindwa kunilipia ada hapo...
2 Reactions
61 Replies
11K Views
Kuna binti tulifahamiana nilipokutanishwa na mzee wake tukaanza mawasiliano ya hapa na pale tukawa wapenzi,kwakuwa tupo maeneo tofauti kuonana kwetu imekua nadra sana tumekua tukijuliana hali...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Habarini…. Katika hatua za ukuaji wa binadamu, utoto ni hatua ya mwanzo kabisa na ya muhimu katika kipindi cha uhai wa binadamu. Katika utoto wa binadamu ndipo inapojengwa misingi ya namna gani...
53 Reactions
81 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…