Nachukia sana pale wapenzi wanapoishi kwenye nyumba ya kushea choo

Husband seeker

Senior Member
May 6, 2018
125
76
Salaam people
mimi nina rafiki yangu anampenzi wake wanazini.
ila anakwazikaga kwa maana mpenzi wake anaishi kwenye nyumba za kushea choo .
mf. wanalalana halafu choo ikisha wanaenda bafuni kutoka huko mpaka bafuni watu wanawacheka kuwa anaenda kuoga kisa wamemaliza shoo zao.
nikaona ni mbaya kweli kupanga nyumba choo kiko njee kama unampenzi maana mnakuwa mnachoreka kiasi Kikubwa .
nyumba zipo hadi laki moja simjisitiri?
Halafu unakuta mi wanaume yenye misifa ndio inapanga huko ili waonekane maisha wanaoishi.
jirani anakuambia juma toka huko na haja na mimi dah hiyo ni mbaya.
usiku ukiwa😦 na haja unatokaje?
Je ukibakwa?
 
Kama anakwazika ndio amtoe uko uswahilini akampangishie nyumba ya laki mnalalamika huduma hamtoi na usikute ni wewe muhusika hakuna cha rafiki wala nn
Sasa ni mkaka ndio yupo uswahilini rafiki yangu mdio mdada atamtoaje mwanaume huko na huku mwanaume ndio ajipange atoke huko
 
Kwanza nina wasiwasi na kiwango cha elimu yako we uliyeleta mada hii;
Yabidi ujue kuwa kila mtu anapanga nyumba/chumba kutokana na uwezo wake, sa kama uwezo wao hauruhusu kukaa chumba self wafanye nini?, na kwakuwa wanakaa chumba cha choo nje ndo wasifanye mapenzi? Kuna watu wamefunga ndoa pia wana watoto ila wamepanga chumba/vyumba vyenye choo cha ku share, je nao wasifanye mapenzi? Akili yako ndogo na hujui maisha, na kaa ufahamu ukikaa unapanga vyumba vya hadhi sana hutojenga, hivyo usione watu wanakaa vyumba vya kawaida ukaona ni wajinga we ndo hujielewi
 
Dah unahasira kama vile nimekusema wewe
 
Back
Top Bottom