Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,038
- 2,190
Et jmn mfano upo katika relation na umepata shida ya gafla inahitaji kama laki kazaa hv...katika akiba yako umepeleza laki 1....unamshirikisha mpenz/mchumba wako ambae unajua kabisa uwezo wa kukupa anao ila anakushauri uuze cm au uuze kitu cha ndani ili upate hiyo hela...kweli kuna mapenz hapo?