Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
Kuna ndugu yangu bwana alipata matatizo wakati wa kujifungua akafariki akaacha kichanga.na wenzake wawili.
Watoto wanapata shida sana napata stress sana .natamani nimtongoze shemela kwa ajili ya watoto Ila simfiili kabisa sio flavour zangu.