Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,039
- 2,190
Iko hv kuna dogo anamchumba wake
Mwanaume ana kazi nzuri kiasi ila ukoo mzima unamtegemea yeye, kijijini baba ake anawake 3 ambapo asilimia 80% wanamtegemea jamaa kuanzia chakula kila kitu
Sasa jamaa kumbe alimpenda bidada kwakumuona anaroho nzuri pia anakibiashara kidogo ambacho kinatosha ..so lengo la jamaa nikwamba wasaidizane na bidada kuwainua familia yake kiuchumi
Sasa ugomvi unakuja maana bidada anandoto za kua na maisha mazuri angalau aweze kuishi vizuri ,wakati jamaa anania ya kuwainua kwao ikiwemo kuwasomesha kuwajengea
Bidada kaniomba ushauri anashindwa aamue nini sababu jamaa jana kamuambia hela yake yeye anajenga na kufanya maendeleo kwao hela ya bidada inabidi atumie kwa ajiri ya kufanya maendeleo,,,,
bidada yeye kipato chake sio kikubwa sana lkn jamaa anataka bidada afanye maendeleo ya pamoja huku jamaa yeye anaboresha kwao je atumie mbinu gan angalau jamaa wafanye maendeleo yao mke na Mme kwa pamoja?