Bunchari
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 693
- 876
Kuna binti tulifahamiana nilipokutanishwa na mzee wake tukaanza mawasiliano ya hapa na pale tukawa wapenzi,kwakuwa tupo maeneo tofauti kuonana kwetu imekua nadra sana tumekua tukijuliana hali kwanjia ya simu na ujumbe mfupi.
Tatizo lililonileta hapa wanajf huyu binti tukipanga kuonana amekua akipgiga chenga,jana nimesafiri toka Dom to mwanza ili tubadilishane mawili matatu uwezi amini nimempigia simu hajapokea mpaka muda huu.
Ikumbukwe pia aliwahi fanya tukio kama hili mwaka jana akajitetea majukumu nikaona siombaya uenda nikweli.
Nipeni msaada wa kimawazo wakuu,kesho nategemea kurudi nilipotoka