howardlite
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 248
- 413
Let share katika maisha kuna mtu unamuota na kutamani siku moja ungeweza kuonana nae na kumwambia maneno yaliyojaa kifuani mwako kama yuko humu MMU sio mbaya ukimtaja na hata kama yuko popote.
-Unatamani angekuwa nani na ungemwambia nini?
Mimi nilitamani ningelikutana na Dr. Mayles Munrove but wiki hiyo nikiwa Montreal on the way to Miami alipata ajali ya ndege na kufariki.
-Unatamani angekuwa nani na ungemwambia nini?
Mimi nilitamani ningelikutana na Dr. Mayles Munrove but wiki hiyo nikiwa Montreal on the way to Miami alipata ajali ya ndege na kufariki.