Habari wafuasi wa mapenzi
leo na mimi nimeona niwashirikishe linalonisibu.sijajua ni tatizo ama ni nini..iko hivi;
kwanza kabisa naandika haya nikiwa na maumivu yetu yale ya kufanyiwa vibya na...
Hello guys,
Nimeona mabinti wengi na wanawake waki-date/wakiolewa na wanaume wasiowapenda k.v (wazee na fat ugly guys) simply because of money, now don't get me wrong simaanishi mwanamke uolewe...
Habari wanajukwaa
Kuna dada mmoja ni rafiki yangu wa kawaida tu ila kuna siku aliwatambulisha rafiki zake kuwa mm ni shemeji yao kama kwa kutania.
Ila leo huyo dada kaja na mwanaume na...
Wakuu habari,
Katika mapenzi kunakuwa na utamu hasa pale penzi linapoanza ila penzi hilo huwa shubiri pale tu wawili hao wanapoachana.
Yawezekana ikawa kwa mwanamke kumuacha mwanaume ila...
Aujuae uchungu wa mwana ni mzazi(hasa mama).
Amekuzaa, amekulea tena kwa maadili mema, amekusomesha hadi ukafanikiwa na leo hii unaitwa boss.
Baada ya kufanikiwa ukasema ngoja nitafute mpenzi...
Umeenda Nyumba ya Kulala Wageni mgeni wako (Mchepuko) Umeshatangulia uko room no 103 kufika jamaa wa mapokezi anakufahamu vizuri anakuuliza Mkeo/Mumeo hawajambo? Mtoto nae...
Wana jukwaa,ningeomba ushauri wenu.
Nimekua na mpenzi wangu kwa zaidi ya miaka miwili ingawa alikua anaishi kwao lkn alikua akija kwangu na hata kushinda au kulala siku zingine.
Sasa hivi majuzi...
Kuna rafiki kaniomba ushauli kama nlivyowaambia hapo juu. Anasema akiwa njob hua anawaza akifika home kwa waifu baada ya kuoga na kula wakiingia kitandani anatamani ashinde japo goli tatu...
Nawashukuru wadau wa Jamii Forums hasa wale waliotoa ushauri kwa nia njema kabisa kabisa uzi wangu >> Niko ukweni leo usiku nitadhihirisha kila kitu mbele ya wakwe na mwenyewe akiwepo. Nimempa...
Welcome to our new journals section! Use your journal to speak your mind to the rest of the JF community! Post your thoughts, ideas, advice and tips about anything and everything love related...
Habari za jumapili,
Natumai nyote ni wazima wa afya, vivyo hivyo Kasie. Leo ni jumapili na kuna mahali nilienda kuibadika, neno nililotoka nalo madhabahuni ni hiko kichwa cha huu uzi.
Tangu...
Iko hivi nimeweka simu kwenye chaji kumbe hajarock wife akaitime kasoma kila kitu yaan nipo hapa home hakupikiki wala hakuliki hapakaliki ushauri wa haraka unahitatajika kuokoa ndoa
Sent using...
Heshima kubwa iwe kwenu wadau wa jukwaa hili.
Yapo baadhi ya mambo ambayo ningependa tushirikishane wadau.
Katika maisha yetu ya kila Sisi kama wanadamu wapo baadhi ya watu waliobahatika kupata...
Hapo vip!!
Nimekuja kugundua kunatofauti kubwa sana kati ya mwanamke wa kiafrika na mwanamke wa kizungu.
Binafsi nimeshakuwa na mahusiano na msichana wa kizungu ambaye ni Mspain,pia na wanawake...
Nipo hali ngumu sana. Nimejisahau mtoto kanasa kitu aisee. Nimemshauri akatoe lakini amegoma kata kata kabisa! Sijui ana lengo gani kwangu. Ni kwamba nilijisahau kwakuwa nilikula bia sana hiyo...
Habari wakuu,
Baada ya vidume kuwa vigumu kuhonga sasa wanawake ndio wanahonga.
Tena wanahonga haswa maana wanakulisha, kuvisha, kodi na gari la kutembelea.
Zile kelele za kuhusu wanawake...