Upepo umebadilika: Wanawake saivi ndio wanahonga

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,512
Habari wakuu,

Baada ya vidume kuwa vigumu kuhonga sasa wanawake ndio wanahonga.

Tena wanahonga haswa maana wanakulisha, kuvisha, kodi na gari la kutembelea.

Zile kelele za kuhusu wanawake wanaomba pesa saivi zimekwisha maana vidume vinapewa pesa na wanawake.

Uzuri ni kuwa wanawake wao hawasemi ni kimya kimya unahongwa huku kazi yako kupasha mashine.

Naona ni badala ya kuona vilio vya wanaume wabahili wameona wajiongeze.

Wanawake nao wamekuwa wajanja wanajua kusaka pesa kuliko wanaume.

Wanaume msipokuwa makini ile hamsini kwa hamsini itawapata...

Doncute
 
Wapo wanao honga kwa nia yakumueka mwanamme mie hua watu wa style hii nahisi hawajiamini, kumpa hela mpenzi wako sio mbaya kwani na yeye ni binadamu anaweza kukosa ila sio tena mwanamme mzima unajipweteka upewe tuuuuu tena unakua huna haya usipopewa unanuna visa tele mie type hii hua nawaita wanaume suruali.

kuna wale wamama wanao honga vijana ambae anaweza kumzaa hua nawachukia sanaaaa wanajua kua hawapendwi ila pesa zao ndio zinapendwa ila hawajali,na mbaya zaidi unamvuliaje nguo kijana umemzidi zaidi ya miaka 10 nguo kama sio kumfisidi mtoto wa mwenzio,mwenyezi mungu anistiri niko na watoto wa kiume ila sipendiiiiiiiii kuona kabisaaaaaaaaaaaa.
 
Last edited:
Habari wakuu,

Baada ya vidume kuwa vigumu kuhonga sasa wanawake ndio wanahonga.

Tena wanahonga haswa maana wanakulisha, kuvisha, kodi na gari la kutembelea.

Zile kelele za kuhusu wanawake wanaomba pesa saivi zimekwisha maana vidume vinapewa pesa na wanawake.

Uzuri ni kuwa wanawake wao hawasemi ni kimya kimya unahongwa huku kazi yako kupasha mashine.

Naona ni badala ya kuona vilio vya wanaume wabahili wameona wajiongeze.

Wanawake nao wamekuwa wajanja wanajua kusaka pesa kuliko wanaume.

Wanaume msipokuwa makini ile hamsini kwa hamsini itawapata...

Doncute
Hamna wanaohonga ni akina mama, watu wazima, vile visichana na akina dada bado wanadanga tu hamna jipya
 
Habari wakuu,

Baada ya vidume kuwa vigumu kuhonga sasa wanawake ndio wanahonga.

Tena wanahonga haswa maana wanakulisha, kuvisha, kodi na gari la kutembelea.

Zile kelele za kuhusu wanawake wanaomba pesa saivi zimekwisha maana vidume vinapewa pesa na wanawake.

Uzuri ni kuwa wanawake wao hawasemi ni kimya kimya unahongwa huku kazi yako kupasha mashine.

Naona ni badala ya kuona vilio vya wanaume wabahili wameona wajiongeze.

Wanawake nao wamekuwa wajanja wanajua kusaka pesa kuliko wanaume.

Wanaume msipokuwa makini ile hamsini kwa hamsini itawapata...

Doncute
Hao wanawake wa aina hiyo wako wachache sana. Nikwambie tu ukweli donatila, wako wachache.
Na inategemea ana hulka gani. Asilimia kubwa ya wanawake bado wanaomba pesa, na si dhambi kuomba pesa ila omba kwa utaratibu maalumu.
Kama unazungumzia wadada wa dar( hapa si wote) wale wanajiita slay queens kutwa kusginda saloon , vibarazani aisee unapotosha.

Rudi mtaani ufanye research dada..
 
Mm napenda pesa jaman shemeji yenu akinipa hayo mauno ninayomkatikia kama feni za panga boy nikianza kuonga nitakuwa gogo kitandani
Siku nyingine uwe unampa pesa na wewe jamani...utaona mauno yake
 
Hao wanawake wa aina hiyo wako wachache sana. Nikwambie tu ukweli donatila, wako wachache.
Na inategemea ana hulka gani. Asilimia kubwa ya wanawake bado wanaomba pesa, na si dhambi kuomba pesa ila omba kwa utaratibu maalumu.
Kama unazungumzia wadada wa dar( hapa si wote) wale wanajiita slay queens kutwa kusginda saloon , vibarazani aisee unapotosha.

Rudi mtaani ufanye research dada..
Yah afanye tena research, maana huku mtaani bado ni shida, hadi kodi wanalipiwa na mababa mbalimbali, huyo anayehonga ni mmama tu mtu mzima anayejiweza ila wadada hawahongi kamwe, inshort nikimwona ambaye hadangi ni km kumwona kakakuona mtaani
 
Habari wakuu,

Baada ya vidume kuwa vigumu kuhonga sasa wanawake ndio wanahonga.

Tena wanahonga haswa maana wanakulisha, kuvisha, kodi na gari la kutembelea.

Zile kelele za kuhusu wanawake wanaomba pesa saivi zimekwisha maana vidume vinapewa pesa na wanawake.

Uzuri ni kuwa wanawake wao hawasemi ni kimya kimya unahongwa huku kazi yako kupasha mashine.

Naona ni badala ya kuona vilio vya wanaume wabahili wameona wajiongeze.

Wanawake nao wamekuwa wajanja wanajua kusaka pesa kuliko wanaume.

Wanaume msipokuwa makini ile hamsini kwa hamsini itawapata...

Doncute
Wanawake wa wapi hao ?
 
Back
Top Bottom