Tom_Mbayeye
Member
- Aug 3, 2018
- 15
- 17
Umeenda Nyumba ya Kulala Wageni mgeni wako (Mchepuko) Umeshatangulia uko room no 103 kufika jamaa wa mapokezi anakufahamu vizuri anakuuliza Mkeo/Mumeo hawajambo? Mtoto nae? [emoji23][emoji23][emoji23]
Niambie ungefanyaje?
Niambie ungefanyaje?