Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Napenda kuwajulisha na kuwafahamisha kwamba Dawa ya UKIMWI imepatikana. Ukimwi unatibika na unapona kabisa 100% wai sasa ukomboe maisha yako huachane na ARVs karibuni sana. Si nyingine bali ni 3drops
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna mkuu kani inspire kuandika uzi huu, To all jf beautiful ladies Naamini ya kuwa hakuna mwanamke mbaya, all ladies are beautiful, na huo uzuri unatofautiana kutokana na mwanamke mwenyewe...
5 Reactions
35 Replies
6K Views
1. Niko busy sana. Mh neno la hovyo sana kumwambia umpendaye hili. Uko busy siku nzima inapita. Unamaana hata chooni huendi kiasi kwamba ukarusha hata sms moja. Mtu anapita siku ya kwanza busy, ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nianze kwa kusimulia kisa hiki. Yuko Mtu mmoja ambaye mama wa mkewe alikuwa Mgonjwa(Mkwewe) akatumia pesa nyingi kumsafirisha toka huko kwao hadi Jijini Dar es salaam. Hiii ilikuwa ni kutambua...
41 Reactions
170 Replies
23K Views
Walipokuja kula mezani yule mdada alisimama kumpakulia masai . hutaamini masai yuko kadata akimwangalia yule mdada kwa mahaba kwamba hata na yeye kule jikoni alikuwa anataka kufanya tena ila...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ama kweli enzi hairudi wahenga wenzangu, Nakumbuka enzi zetu wakati tunachipukia kama wanaume waliopevuka tulianza kutongoza wanawake kwa kutumia barua tena nakumbuka niliwahi kutongoza mdada...
5 Reactions
103 Replies
18K Views
Nimestukia kwamba mahitaji ya mke au mume ni mengi kila uchao. Maana post za kutafuta mchumba, mke/mume ni nyingi online. Hivi ni kweli kwamba hao waombao kupata mwenza humu JF hufanikiwa...
0 Reactions
33 Replies
2K Views
Salam enyi watanzania wenzangu. Mungu kanituma niwaeleze haya mambo mazuri kwa ajili ya kudumisha mahusiano yetu, hasa mke na mume au wachumba nk. Kwanza kabisa, wanawake wana akili sana katika...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nakupenda sana jje's yani nimetaka niwaaambie ndugu zangu wa jf jinsi ninavyokupenda,mwenye taarifa amwambie
2 Reactions
186 Replies
11K Views
Ni hapo mwanaume anapomtokea mwanamke kwa mashairi moto moto na kumfanya amsahau mume/boyfriend wake.
0 Reactions
0 Replies
459 Views
Ni hapo mwanaume anapomtokea mwanamke kwa mashairi moto moto na kumfanya amsahau mume/boyfriend wake.
0 Reactions
0 Replies
422 Views
Habari za mchana wana jf Kwa uwelewa wangu na utafiti wangu Wa kinaa Watanzania wengi ni wajuaji wanajua kila kituu yaani wanajua kila kitu ata kama hana hyo taaluma ila atakuambia anajuaa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari waungwana Leo nataka niwajulishe wasichana au vibinti vimekuja na mpya Vinapiga mizinga ya nguvu kadri siku zinavyokwenda Siku ya kwanza Baby sina vocha Nitumie vocha Siku ya pili Baby...
4 Reactions
44 Replies
6K Views
Aise ilikuwa mwaka ya 2003 kwenye nyumba ya kupanga Buguruni malapa,nyumba ilikuwa na familia 2, ya 3 mimi na braza. Wanaoshinda hom ni akina dada wawili wenye watoto wadogo. Basi wakawa na bifu...
7 Reactions
92 Replies
8K Views
Hope mpo poa wale wataalamu wa kubambia, kudunga, kula chaji yote ni maneno wajuvi washaelewa, Embu njooni mtoe uzoefu katika hi kazi yetu ya kubambia wadada wawatu, japo kuna wengine hupenda...
2 Reactions
68 Replies
17K Views
Habari wakubwa, mimi ni kijana (early 20's)..pia ni mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo kimoja hapa jijini Mbeya. Lengo kubwa la kuandika huu uzi ni kuwaomba ushauri kwa haya machache. Ipo hivi...
1 Reactions
95 Replies
14K Views
Nimepokea taarifa sio nzuri leo jioni hii kuwa elmagnifico aliangukiwa na vioo vikamchoma sana mikononi na kifuani na kulazwa Hospitali. Pia mpaka sasa yupo Ile hospital ya mifupa mnaiita Moi...
24 Reactions
132 Replies
10K Views
Habari za Jioni wapendwa Daah wanasema kila mtu ana mbabe wake huku duniani kweli hilo limejidhirisha kwangu live Ipo hivi kuna mdada mmoja kahamia mtani kwetu ana kama miezi mitatu hivi...
5 Reactions
48 Replies
5K Views
Wadau wa jukwaa hili bila shaka muwazima. Nina swali ninaomba kujuzwa. Je ni mahitaji gani yanahitajika kutolewa na mwanaume kwenye kuhudumia mimba? Kwa sababu kuhudumia mtoto inafahamika wazi...
3 Reactions
64 Replies
7K Views
Wakuu habari za mihangaiko,huu uzi unalengo la kupeana changamoto tulizokumbana nazo siku tulipo toka nyumbani na kwenda kuanza maisha rasmi Mimi nilikutana na changamoto ya kupamiss home yani...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom